Fatma Karume 'Ukiwa Rais ni Ngumu Kataka Kutoka Madarakani'

"Ukiwa Rais ni lazima uwe makini sana kwa sababu mazingira unayoishi ni unatoka kuwa mtu wa kawaida na kuwa mtu ambaye kila mmoja anakupigia magoti, kama hautakuwa makini hali hiyo inaweza kukupanda kichwani na kuhisi wewe sasa tayari umeshakuwa Mungu! Ni ngumu sana kutaka kuondoka hapo katika maisha hayo ni sawa na kuzoea kupanda First Class kwenye ndege kisha ghafla utake kurudishwa kwenye Economy Class, maisha ya First Class yana raha sana"

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii