Mtanzania Asajiliwa FC Nantes ya Ufaransa

Mtanzania Omar Abbas Mvungi aliyekuwa anakipiga MFK Vyskov, amejiunga na FC Nantes ya Ufaransa.

Mvungi aliyekulia kwenye kituo cha Cambiasso anakuwa mchezaji wa Kwanza Mtanzania kucheza League 1, moja ya ligi 5 za Ulaya.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii