Rwanda ilianza kampeni ya Kundi IV ya Kombe la Davis Cup Afrika kwa njia nzuri baada ya kuwalaza Msumbiji katika mechi za ufunguzi za Kundi B za michuano hiyo iliyofunguliwa Kigali Jumatano, Julai 26.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe