Wiki Kadhaa Sasa Kanye West Hajulikani Alipo

Kupitia nyaraka za mahakama zilizodakwa na mtandao wa Radar Online, rapa Kanye West 'YE' ametajwa kutoonekana na haijulikani yupo wapi kwa wiki kadhaa sasa na hata kwenye mawasiliano yake hapatikani.

Kwa mujibu wa Thomas St. John ambaye alikuwa meneja wake.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii