logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Makala

  • Pata Makala Zote Hapa
Afya
  • Na Asha Business
  • July 14, 2023

Fahamu Vyakula Vya Kuondoa Gesi Tumboni

WATU wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo nakuletea baadhi ya vyakula vya kula ili kuondoa hili tatizo.Kwa njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • June 16, 2023

Dalili Za Upungufu Wa Vitamini C Mwilini

VIASHIRIA vya upungufu wa vitamini C vinaweza kujumuisha uchovu, michubuko rahisi, na ukakamavu wa ngozi.Unaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na upungufu huu ikiwa una magonjwa fulani, ikiwa ni pamoja na anoreksia.Vi . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • May 11, 2023

CHANZO CHA KUKOROMA WAKATI WA KULALA

Kukoroma husababishwa na sauti inayotokana na mtikiso wa tishu za njia ya juu ya kupitisha hewa shughuli hii inapoendelea, hasa ikiwa njia hii ikiwa nyembamba.Wembamba wa njia hii waweza tokana na kuziba kwa pua, uzani m . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Wanaume wenye kiwewe hatarini kuugua maradhi ya moyo, kisukari

Wanaume wa umri wa kadri ambao hushikwa na wasiwasi mwingi wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kiharusi na kisukari, utafiti umebaini. Watafiti kutoka Chuo cha Harvard Marekani, wamegundua kuwa mwanaume akiwa . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • November 25, 2022

Faida 5 za kiafya za nyanya

Ingawa mara nyingi hufikiriwa kuwa nyanya ni kiungo cha aina mbalimbali za mboga ila tambua kuwa nyanya zifaida mwilini na hizi ndizo faida zake.1. Inaweza kuweka moyo wako katika afya njema Gramu 80 za nyanya hutoa kari . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

FAHAMU KINACHOSABABISHA NGOZI INAYOIZUNGUKA MACHO KUWA NYEUSI

Tatizo la ngozi ya sehemu inayoizunguka  macho kubadilika rangi na kuwa nyeusi huwakosesha mabinti wengi usingizi.Hii ni shida ambayo hutokana na sababu mbalimbali kama vile uchovu, kutopata usingizi wa kutosha, kuk . . .

Jembe Maktaba
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

FAHAMU FAIDA YA KUOGELEA KIAFYA

Mojawapo ya faida kubwa za kuogelea ni kwamba hufanya kazi kwa mwili wako wote kuanzia juu kichwani hadi kwenye vidole. Kuogelea: huongeza mapigo ya moyo wako bila wewe kujitutumua zaidi. hujenga misuli hukupa nguvu . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hi . . .

Jamii
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Wanawake wa Kiislamu nchini India wapinga ndoa za wake wengi

Hatua ya mwanamke wa Kiislamu mwenye umri wa miaka 28 ya kuomba mahakama nchini India kumzuia mme wake kuoa mke mwingine bila ya ridhaa yake ya maandishi kumezua mjadala wa wazi kuhusu mila ya ndoa za mitala miong . . .

Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mfahamu mtu wa kwanza kuchambua soka kwa teknolojia ya kompyuta

Siku moja nzuri mnamo Machi 1986, Richard Pollard alifika Fiji kufundisha katika Chuo Kikuu cha Pasifiki Kusini.Siku moja aliona katika sanduku lake la barua kifurushi kilichotumwa kwake kwa barua ya ndege kikigongwa . . .

Vita
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Simulizi ya uvamizi wa Hitler na kushindwa kwake

Urusi ilijiingiza katika vita miaka 77 iliyopita na vita hivyo vinazidi kukumbukwa katika historia.Vita hivyo, vilivyoanzia Leningrad hadi Crimea, kutoka Kiev hadi Stalingrad, viligharimu maisha ya Warusi milioni 25.Ujer . . .

Vita
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Je vita vinasambaa?

Milipuko ya ajabu katika Transnistria, jimbo lililojitenga linalodhibitiwa na Urusi katika Moldova linalopakana na Ukraine, imeibua hofu kwamba vita vya Ukraine huenda vinasambaa katika maeneo mengine zaidi. M . . .

Makala
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Bilionea pekee Afrika Mashariki anatoka Tanzania-Ripoti

Bilionea pekee wa Afrika Mashariki anatoka Tanzania, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kampuni ya utafiti ya New World Wealth and Henley & Partners inayosaidia watu wenye thamani ya juu kupata makazi au uraia k . . .

Jamii
  • Na JZ The Brand
  • April 19, 2022

Wazazi wanaolea watoto wa rangi tofauti

Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti ina . . .

Afya
  • Na JZ The Brand
  • April 19, 2022

Kinachofanyika katika mwili wako unapofunga hadi saa 20 katika siku 30

Kila mwaka, mamilioni ya Waislamu hufunga wakati wa kutoka kwa jua hadi machweo kwa siku 30 kama sehemu ya likizo ya Ramadhani.Katika miaka ya hivi karibuni, Ramadhani imekuwa ikisherehekewa sanjari na miezi ya kiang . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • April 18, 2022

Anayetawala anga atashinda vita vya Ukraine

Kapteni Vasyl Kravchuk anatabasamu kwa urahisi licha ya kuvumilia siku 50 za vita.Anaunganishwa kwenye a Video ili kufanya mahojiano haya kutoka kituo chake cha anga, katika eneo lisilojulikana nchini UkraineAnajua kwa . . .

Afya
  • Na JZ The Brand
  • April 18, 2022

Je binzari ya manjano inaweza kutibu magonjwa kama vile Saratani?

Utakuta maelfu ya makala zikielezea jinsi binzari ya manjano zinavyoweza kutibu magonjwa kama kiungulia, kukosekana kwa uwezo wa tumbo wa kusaga chakula, kisukari, huzuni na maradhi ya ubongo ya Alzheimer.Inaweze hata . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Je, Rwanda ni nchi ya usalama au hofu?

Wageni wanaotembelea Rwanda mara nyingi huvutiwa kupata nchi ambayo mambo yanaonekana kufanya kazi kwa ufanisi. Ni nadhifu na mwonekano wa kijani kibichi - na huduma ya wi-fi ni nzuri katika mji mkuu, Kigali.Kila . . .

mikasa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Watoto hatarini janga la ulawiti, ubakaji

Ni saa 2.00 usiku, kwenye kibanda cha kuonyesha video maarufu kwa jina la ‘kibanda umiza’ eneo la Semtema, Manispaa ya Iringa.Katika kibanda umiza panafurika sana siku za mechi kubwa, ama za Ulaya au Simba na Yanga n . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • April 11, 2022

Je ni mataifa hewa gani yanatumiwa na Urusi katika mzozo wa jirani zake

"Ninaamini kwamba kuungana na Urusi ni lengo letu la kimkakati na matarajio ya watu. Tutachukua hatua zinazofaa za kisheria katika siku za mbeleni. Jamhuri ya Ossetia Kusini itakuwa sehemu ya nchi ya kihistoria - . . .

Wanawake
  • Na JZ The Brand
  • March 8, 2022

Siku ya Wanawake Duniani

Kila mwaka Machi 08, Umoja wa Mataifa husheherekea haki zilizopatikana kwa bidii za wanawake- na kuangazia changamoto ambazo bado ziko mbele katika kukomesha ubaguzi wa kijinsia katika karibu nyanja zote za mais . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • March 4, 2022

Hawa ndio Majenerali na maafisa wa karibu zaidi na Rais Putin wanaomsaidia katika vita ya Ukraine.

Vladimir Putin anapunguza idadi ya watu waliokaribu nae, na kusababisha jeshi la Urusi kuwa katika vita vya hatari ambavyo vinatishia kuharibu uchumi wa nchi yake.Mara chache anaonekana kutengwa zaidi alipoonekan . . .

Afya
  • Na JZ The Brand
  • March 4, 2022

Bidhaa ambazo zitaguswa na jinsi Afrika itakavyoathirika.

Huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukiendelea, athari za kiuchumi kutokana na vita vinavyoendelea tayari zimeanza kujitokeza kote ulimwenguni na Afrika hazijaachwa nyuma.Mwandishi wa Habari za Biashara wa BBC A . . .

Elimu
  • Na JZ The Brand
  • February 28, 2022

Kisa Mabala kuukana uraia wa Uingereza

Ukikutana naye kwa mara ya kwanza, hutaamini kuwa mzungu huyu ni raia wa Tanzania na tena ni mlumbi wa Kiswahili pengine kuliko Waswahili wengi wa asili.Wengi waliosoma vitabu vyake wakiwa shule za sekondari vya †. . .

Jembe Maktaba
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Ifahamu nchi ambayo unaweza usipoteze kitu chochote

Kila mwaka, mamilioni ya mali za kibinafsi hupotea huko Japan.Lakini tofauti na nchi nyingine, ukipoteza simu au pochi yako katika nchi hii, kuna uwezekano mkubwa ukavipata tena.Mali zote zilizopotea zimehifadhiwa katika . . .

Kurasa 2 ya 3

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya

    • 2 masaa yaliopita
  • Charles Hillary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Afariki Dunia

    • 2 masaa yaliopita
  • Kwa mala ya kwanza Papa Leo XIV akiwa PAPA, aongoza misa akisema; "Kanisa linaweza kusaidia Dunia"

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode