Tambua vyakula 8 vya Baharini Vinavyoweza Kukuletea Madhara Makubwa Bila Kujua

Ingawa vyakula vya baharini vinajulikana kuwa na faida kubwa kiafya, si kila samaki au sahani ya seafood ni salama au bora kula. Wataalamu wa mapishi na lishe wanaonya kuwa baadhi ya vyakula hivi vinaweza kuwa hatari kwa afya yako hasa kama havijaandaliwa au kuhifadhiwa vizuri.

Hapa kuna aina 8 za seafood unazopaswa kuwa makini nazo unapochagua chakula kwenye mgahawa:

1.  Samaki aliyefunikwa na michuzi mingi kupita kiasi

Kama samaki amejaa cream nzito au michuzi mingi, inaweza kuwa njia ya kuficha ubora wake mdogo.
</p>

                            
                                <div class=

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii