Canada na EU zaimarisha ushirikiano

Viongozi wa Canada na EU wanakutana mjini Montreal kujadili ushirikiano katika ulinzi, akili mnemba na madini muhimu. Mkutano huo unafanyika huku Canada ikisaka masoko mapya baada ya kuathiriwa na ushuru wa Marekani.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii