Ikulu imesema mabadiliko ya bei ya mafuta yanachangiwa na hali ya soko la kimataifa, ikiwemo uzalishaji na migogoro ya kisiasa. Imeongeza kuwa serikali inaendelea kufuatilia ili kulinda uchumi na wananchi.
10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe