Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Heche amewaomba Watanzania kukiunge mkono chama hicho wakichangie na wakitetee.
Heche ametoa kauli hiyo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika wilayani Kahama mkoani Shinyanga alipokuwa akiinadi kampeni ya No Reforms No Election
Ili kupata taarifa zaidi endelea kutufuatilia kupitia website yetu ya www.jembenijembe.com kupitia Instagram ,Facebook, tikok,x zamani twitter pamoja na YouTube