Chama cha Mapinduzi CCM kimetangaza kufanya Mkutano Mkuu Maalum utakofanyika Dodoma tarehe 29 na 30 ukiambatana na agenda kuu tatu ikiwemo kupokea taarifa ya miaka mitano ya utekelezaji wa Uchaguzi 2025, kuzindua ilani ya CCM 2025/2030 kuelekea Uchaguzi Mkuu na marekebisho ya katiba
Hayo yameyasemwa na Katibu wa NEC, itikadi na uenezi wa Mafunzo CCM, Amosi makalla wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam lmei 17 2025.