Hii ndio orodha ya wasanii wa kike waliongoza kwa kupata pesa za Mirabaha

Waimbaji wa kike 20 wa Tanzania walioongoza kwa kupata pesa za Mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV.

20. Leyla Rashid
19. Lilian Mwamaja
18. Ray C
17. Abby Chamz
16. Luludiva
15. Beatrice Mwaipaja
14. Bahati Bukuku
13. Jane Misso
12. ———
11. Happy Kamili
10. Linah
9. Anjella
8. Lady Jaydee
7. Maua Sama
6. Isha Mashauzi
5. Saraphina
4. Nandy
3. Martha Mwaipaja
2. Christina Shusho
1. Rose Muhando.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii