Carina Afariki Dunia Nchini India

Habari zilizotufilia hivi punde, zinaeleza kuwa mwanadada Carolina Hawa almaarufu Carina aliyekuwa akitibiwa nchini India, amefariki dunia.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Carina alitarajiwa kurejea Tanzania leo baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii