Nasma Ambaye Ni Mrembo Aliyefanikiwa Kupendezesha Video Mpya Ya Wimbo Wa Utu Wake Alikiba Kutoka Katika Album Yake Wimbo Ambao Umekuwa Na Mapokeo Mazuri Na Makubwa Sana.
Nasma Ambaye Amekiri Kuwa Alikuwa Na Wakati Mzuri Kufanya Kazi Na Alikiba Lakini Aliwahi Kuitwa Na Diamond Kwaajili Ya Wimbo Wa Naanzaje Ila Anafikiri Hakukidhi Vigezo Ndio Maana Diamond Aliamua Kuendelea Na Mtu Mwingine.
Akizungumza Na Chanzo Kimoja Cha Habari Nasma Ameweka Wazi Kuwa”Ni Kweli Diamond Amewahi Kuniita Lakini Sikuweza Kufika Kutokana Na Kuwa Kesho Yake Nilikuwa Nasafiri Na Aina Ya Msuko Aliokuwa Anataka Nisingeweza Kufanya Chochote,Akaniambia Nikirudi Tutafanya Lakini Baadae Nikaona Wako Zanzibar Wanashoot Video So Labda Sikustahili”
Alisema Nasma Ambaye Anaamini Uwezo Za Muonekano Wake Ndio Vilikuwa Mvuto Kwa Alikiba Kufanya Nae Kazi Katika Utu.