B GWAY:WAMENINUKUU VIBAYA KUHUSU HARMONIZE

B Gway Ambaye Mwaka Jana Alifanya Vizuri Na Wimbo Wa Mwaka Huu Wimbo Ambao Pia Ulimvutia Msanii Wa Muziki Diamond Platnumz Kutokana Na Ubunifu Ambao Aliutumia Katika Video Ya Wimbo Wake.

 

Sasa Baada Ya Harmonize Kutoa Wimbo Wake Mpya Ambao Ameupa Jina La Huu Mwaka Wangu,Wimbo Ambao Umezua Gumzo Kwa Baadahi Ya Mashabiki Wa B Gway Na Kuanza Kufananisha Kuwa Wimbo Huo Harmonize Kamuibia B Gway Huku Wengine Wakisema B Gway Anatafuta Kiki.

  

Sasa Kupitia Jembe Fm B Gway Amezungumza Wazi Na Kusema Kuwa “Mimi Sina Tabia Ya Kiki Kwa Mtu Anaefatilia Muziki Wangu Lakini Mashabiki Walininukuu Vibaya Nilipoweka Video Na Kuandika Tena Kwa Kucheka Mimi Sina Tatizo Na Kile Alichokifanya Ila Niliandika Kuhoji Kuhusu Je Mtu Akikopi Huo Unaweza Kuwa Ujinga”

Amesema B Gway Ambaye Hata Yeye Alishangaa Kukuta Mashabiki Wakihoji Kuhusu Nyimbo Hizo Mbili Na Hata Kuziweka Pamoja.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii