Masanii Ambaye Anataaluma Ya Udaktari Kutoka Nchini Tanzania Amabye Pia Amewahi Kuingia Katika Vichwa Vya Habari Vingi Kuwa Katika Mahusiano Na Mrembo Toka Kenya Vera Sidika Ambaye Kwa Sasa Yuko Katika Mahaba Mazito Na Brown Mauzo.
Jimmy Chansa Licha Ya Kufanya Muziki Ni Moja Ya Msanii Ambaye Anaonekana Kutokutumia Nguvu Kubwa Jambo Ambalo Linafanya Baadhi Ya Watu Hata Kusema Kuwa Msanii Huyo Hajapata Shida Katika Harakati Zake Za Muziki.
Jimmy Chansa Amesema Kuwa Hata Yeye Anashida “Mimi Kwa Watu Wanaonijua Nimehangaika Sana Tu Kimuziki Na Mo Music,Na Yule Ambaye Kwa Sasa Anafanya Muziki Wa Injili Pamoja Na Watu Wengine Lakini Wakati Mwingine Nimeamua Tu Kuwaonyesha Watu Kile Ambao Mimi Naona Ni Sawa Wao Kuona Kwasababu Wao Pia Wanahitaji Kujifunza Na Kupata Moyo Wa Kufanikiwa Katika Yao Kupitia Mimi,Lakini Siwezi Kuwaonyesha Shida Na Changamoto Zangu”
Alisema Jimmy Chansa Akizungumza Na Chanzo Chetu Cha Habari Na Pia Kusisitiza Kuwa Muziki Ni Kazi Ngumu Sio Rahisi Kama Watu Wanavyoichukulia.