Japan Yaanza Kuwafundisha Raia Wake Jinsi ya Kutabasamu

Japani imepunguza vizuizi vya virusi vya Korona (COVID-19) katika miezi mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa. 

Hii imeambatana na changamoto nyingi zisizotarajiwa zinazotishia muundo wa kijamii wa taifa hilo lenye uchumi mkubwa barani Asia.


Mahitaji ya huduma za mafunzo ya tabasamu nchini humo yameongezeka kadri watu wengi wanajaribu kuzoea kuonyesha nyuso zao hadharani. "Sikuwa nimeitumia misuli yangu ya uso sana wakati wa COVID kwa hivyo ni mazoezi mazuri," Himawari Yoshida, mwanafunzi wa sanaa, aliiambia Reuters.

Mwalimu wa tabasamu, Keiko Kawano, amedai kuwa watu hawakucheka sana chini ya barakoa na wanakabiliana na changamoto. "Watu hawajakuinua mashavu yao chini ya barakoa au kujaribu kucheka sana. Sasa, wako katika wakati mgumu



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii