Waitara aagiza mgambo, JKT kukagua tiketi

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka za Usafiri wa Ardhini (Latra) nchini kuendeleza zoezi la ukaguzi wa tiketi za abiria kwenye vituo vya mabasi vya mikoa  kwa kuwashirikisha mgambo na askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Waitara ametoa agizo hilo leo Desemba 30, 2021alipofanya ziara ya kushtukiza ya kukagua tiketi katika kituo Kuu cha Mabasi jijini Mbeya.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii