Simu ya Zoom ilikuwa na takriban watu 40 - au ndivyo watu ambao walikuwa wameingia walifikiria. Mkutano wa wafanyakazi wote katika kampuni bandia, kwa ajili ya kuwakaribisha waajiri wapya wa kampuni hiyo ya kusadikik . . .
“Nilizoea kuwa mkarimu kwa wateja wakati nafanya biashara ya mama ntilie kwakuwa lazima uwe mchangamfu ili uwavute wateja, lakini moyo wangu umebadilika baada ya kuanza kazi ya udereva wa maroli masafa marefu.“ . . .
Singapore inajulikana kwa kuwa mojawapo ya nchi zilizo na miji mikubwa zaidi ulimwenguni, bila ukosefu wa majengo marefu na ya kifahari. Lakini kwa mtu mmoja, hiyo haiwezi kuwa mbali zaidi na mahali alipopaita nyum . . .
PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu hapa Tanzania. Kutokana na utamu na wingi wake wa mafuta, unaweza kudhani siyo tunda zuri kiafya hasa kwa kuwa halina ladha aya sukari lakini ukwel . . .
Hebu vuta picha, mto unatiririsha maji na kuna sehemu kuna maporomoko ambapo maji yanadondoka kutoka juu mpaka chini lakini tofauti na maji ya kawaida, maji haya yana rangi kama damu! Ni tukio la kustaajabisha si n . . .
Dhoruba kali ilipopiga mnamo Oktoba, wakazi wa jamii inayoelea ya Schoonschip huko Amsterdam walikuwa na shaka kidogo kuwa wangeweza kukabiliana nayo. Walifunga baiskeli zao na madawati ya nje, wakawatembelea maj . . .
NILIFANYA biashara mjini Kisii Kenya ambapo nilijikita katika uuzaji wa ala za muziki, ilikuwa imenoga katika kaunti yote na hata kuenea katika ukanda mzima wa Mkoa wa Nyanza. Hata hivyo nilitamani hata kufanya bia . . .
Tuanze kwa kuamkiana ile salamu maarufu ya Wahehe ya ‘Kamwene’.‘Kamwene’ ni salamu tu kama ilivyo habari za leo na ikiwa utaamkiwa hivyo basi huna budi kujibu neno hilohilo, ‘Kamwene’.Kwa kiasi kikubwa, Mkoa . . .
Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City”, kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in . . .
Nakutahadharisha kuwa usiibe kitu cha mtu yeyote. Mimi naitwa Richard na kwa kweli niliona cha mtema kuni siku niliojaribu kuchukuwa simu ya mtu.Nilikuwa nimeenda kuangalia mechi ya Uingereza kwenye bar fulani mjin . . .
Kwa kawaida, yapo mambo manne tu ambayo yanafanya watu wengi kushindwa kufanikiwa, lakini si hivyo tu hayo ndiyo ndiyo mambo ambayo karibu maskini wote duniani wanayafanya sana maishani mwao. Na kwa kuendelea kufan . . .
Tinder, programu ya kutafuta wenza ambayo iliundwa mwaka wa 2011, imewekwa kama mojawapo ya alama za enzi ya kidigitali ambayo tunapitia na imekuwa sehemu ya mazungumzo kuhusu mahusiano ya sasa ya mapenzi. Na ing . . .
Wakati mjadala uliopo sasa ukiwa kwa nini watu wengi wanapendelea kuitwa wasomi wa PhD, mengine yamebainika kuhusu taratibu za usomaji wa shahada za juu katika baadhi ya vyuo vikuu nchini.Kuna madai ya kuwapo kwa u . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza operesheni maalum ya kumuua kiongozi wa ISIS Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurayshi."Wanajeshi wote waliohusika katika operesheni hiyo wamerudi salama aliongezea Joe Biden."Ahsante sa . . .
Hii ni hali ambayo mama huyu anaiona kama sehemu ya wito wake wa maisha kwamba atoe nasaha na awe kielelezo cha kuishi na virusi vya HIV kwa miaka mingi na kwamba ni kitu ambacho kinawezekana ."Ni miaka miwili sa . . .
Frida Ismail mwanamke wa miaka 35 kutoka Dar es salaam Tanzania japo anatabasamu la kupendeza , nyuma ya tabasamu hilo amebeba majuto na machunguHii inatokana na hali iliyomkuta wakati huo akiwa na umri wa miaka 28 alipo . . .
Lishe ya kufunga kwa kipindi fulani imewavutia watu mashuhuri na wakurugenzi wakuu kwa kusaidia kupoteza uzito na faida za kiafya.Ingawa kuna ushahidi kwamba kufunga hurejesha na hata kurefusha maisha, hii inawez . . .
Pigo moja la radi linakadiriwa kuwa na Volt 125,000,000 za umeme. Kwa sasa hakuna njia kamili ya kujikinga na maafa ya radi isipokuwa kuna njia za kupunguza maafa kama ifuatavyo:a. Ukiwa ndani ya nyumba . . .
Katika jamii zetu zimejaa imani tofauti tofauti,Inapo tokea mtoto anakoroma wakati wa kulala utasikia "kamrithi baba au mama yake" pasipo kujua yaweza kuwa chanzo cha ugonjwa fulaniZifuatazo ni sababu za kukoroma kwa . . .
Katika kitabu chake mashuhuri cha Sapiens, mwanahistoria Yuval Noah Harari, anaeleza kuhusu kwanini binadamu amepiga hatua kubwa kimaendeleo kulinganisha na wanyama wengine. Sababu anazotoa ni mbili tu; uwezo wa . . .
TULIKUPENDA, Tunakupenda na yote uliyofanya kwa nchi yetu vitaishi mioyoni mwetu, ni kauli za watanzania wengi baada ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . . .
1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi2. Tembo ana uzito wa tani 73.Tembo jike hubeba mimba miezi 24 au miaka 24.Tembo mtoto huzaliw . . .