Nakutahadharisha
kuwa usiibe kitu cha mtu yeyote. Mimi naitwa Richard na kwa kweli
niliona cha mtema kuni siku niliojaribu kuchukuwa simu ya mtu.
Nilikuwa
nimeenda kuangalia mechi ya Uingereza kwenye bar fulani mjini Dar Es
Salaam ndipo nilipoona simu aina ya Samsung imeanguka chini. Niliichukua
na kuenda nayo nyumbani. Nilikaa na simu hiyo kwa muda wa wiki mbili
kisha nikaanza kuitumia lakini nilijuta.
Ilianza
tu kama mzaha nilipoona watu watatu wakija kwenye nyumba yangu usiku na
kuniambia nirejeshe simu kisha wakapotea. Yaani ilifanyika kama
mazingaombwe.
Siku
ya pili pia nikasikia mabati ya nyumba yangu yakipiga kelele na kisha
nikaona paka wawili wakiunguruma na kuitisha simu. Dah! nilijua kuna
jambo limefanywa na mwenye simu hiyo. Hiyo siku sikulala.
Nilianza
kutafuta mwenye simu hiyo kwenye bar ile niliookota simu na kwa bahati
nzuri nilimpata na nikamkabidhi simu. Alinicheka na kunionya kuwa
nisirudie chukua tena kitu cha mtu nisiemfahamu vizuri manake majuto ni
mjukuu na huja baadaye.
Alinielezea
kuwa yeye amejikinga na miti shamba ya daktari Ngoso. Akasema Ngoso ni
daktari wa kiasili ambae husaidia mno kukinga mali ya mtu isiibiwe wala
kupotea.
Ninapoongea nawe sasa hivi hata mimi nimejikinga kutokana na mambo ya wizi wa aina yoyote. nyumba yangu iko salama.