IGP Afanya Mabadiliko kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, lengo likiwa ni kuimarisha na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya jeshi hilo.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii