Haji Manara Apitishwa Kugombea NEC

Haji Manara amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 15 Bara ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika kesho Dodoma.


Haji ambaye pia ni Mdau mkubwa wa soka Tanzania ni Kada wa muda mrefu wa CCM na amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa Chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii