Mechi za Tanzania Dhidi ya Uganda na Rwanda Zafutwa Morocco

Mechi za kirafiki za Tanzania zilizokuwa zichezwe nchini Morocco dhidi ya Uganda na Rwanda zimeripotiwa kufutwa kutokana na changamoto za upangaji wa ratiba na maandalizi ya timu hizo.

Awali, Taifa Stars ilikuwa imepangwa kucheza dhidi ya Uganda Juni 5, 2026 na Rwanda Juni 9, 2026 katika michezo ya maandalizi ya kimataifa nchini Morocco.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii