Manchester City wameendelea kuweka presha kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuichapa Crystal Palace mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa katika dimba la Etihad Stadium.
Hata hivyo mabao ya City yalifungwa na Antoine Semenyo dakika ya 32, Omar Marmoush dakika ya 40 pamoja na Savinho dakika ya 84 kuhakikisha timu hiyo inaondoka na alama tatu muhimu.
FT: Manchester City 3-0 Crystal Palace
32’ Semenyo
40’ Marmoush
84’ Savinho
MSIMAMO EPL
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii