Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul kuanzia leo Novemba 25, 2023
Hata hivyo, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu haijaweka wazi sababu ya utenguzi huo.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe