"Maduka yote ya nje ya dawa yanatakiwa kuwa nje umbali wa mita 500 sheria hii niliipitisha kabla sijaondoka Wizarani, maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima tunakwenda kuyaondoa, Hospitali dawa hakuna, kwanini maduka ya nje dawa zipo?, haikubaliki" ——UMMY