Rais wa Rwanda Paul Kagame amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda na maafisa 14 wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).
Pia ameidhinisha kufukuzwa kwa wanajeshi 116 wa vyeo vingine na kuidhinisha kusitishwa kwa kandarasi za utumishi za wanajeshi 112 wa vyeo vingine
Taarifa hiyo haijakutoa sababu ya kufutwa kazi kwa wanajeshi hao 244