GHARAMA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI ZADAIWA KUPANDA NCHINI.


Wadau wameshuhudia mabadiliko katika bei za Vifurushi vya Intaneti, ikionekana Kampuni za Mawasiliano zimepunguza ukubwa wa Vifurushi vilivyokuwepo awali huku Wananchi wakilalamika kutofahamishwa kuhusu hatua hiyo
Mapema Mwaka 2021, Vifurushi vya Intaneti vilipanda na kupelekea malalamiko mengi yaliyosababisha Serikali kusitisha bei mpya za Vifurushi hivyo ili Watoa huduma wazipange upya kwa ufanisi

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii