MATETEMEKO YA ARDHI YAUA ZAIDI YA WATU 20 AFGHANISTAN

Maafisa Usalama Nchini humo wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki dunia baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea eneo la Magharibi mwa Taifa hilo
Matetemeko hayo ya kipimo cha 4.9 na 5.3 yaliathiri Mkoa wa Kaskazini Magharibi wa Badghis, na kupelekea nyumba na majengo kuporomoka Watoto wanne ni miongoni mwa waliopatikana wamefariki kwenye vifusi

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii