BARCELONA YATUPWA NJE UEFA.

Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.

Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua ya 16 Bora ligi ya mabingwa na kwenda kucheza Europa league ilikuwa Msimu wa 2000/2001.

Msimu huo Barcelona walimaliza nafasi ya tatu nyuma ya AC Milan na Leeds united.

NOTE:Xavi ambaye ni kocha wa Sasa alikuwa Sehemu ya Kikosi cha mwaka 2000/01

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii