Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Uhalifu huu . . .
Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia Desemba 11 mwaka huu jijini Dodoma, anatarajiwa kuzikw . . .
Ikiwa tunaeleka ukingoni mwa mwaka 2025, leo zimetimia siku 223 tangu kutekwa kwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Mdude Nyagali na watu wasiojulikana usiku wa Mei 2 mwaka huu akiwa . . .
Rais wa Marekani wa zamani, Donald Trump, ameendelea kumkosoa Mbunge wa Bunge la Marekani, Ilhan Omar, ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Somalia.Katika hotuba yake ya karibuni, Trump alirudia . . .
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano, Desemba 10, ametangaza kwamba Marekani imekamata meli ya mafuta "kubwa sana" kwenye pwani ya Venezuela, na hivyo kuongeza mvutano na Caracas. Venezuela . . .
Kufuatia kufutwa kwa mkutano wa waandishi wa habari wa Nobel Desemba 9 mashaka yameongezeka kuhusu ushiriki wa Maria Corina Machado katika sherehe ya Tuzo ya Nobel iliyopangwa kuanza saa 7:00 (7:00 sa . . .
Baadhi ya vyombo vya habari vimeonyesha waasi wa M23 wakiingia Uvira na kudhibiti maeneo muhimu ya mji huo ikiwemo ofisi za serikali na maeneo ya mpakani.Kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwa . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake inayolishutumu kundi la Hamas na makundi mengine ya wapiganaji wa Kipalestina kwa kufanya uhalifu dhidi ya ubinadamu.Ka . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Edouard Bizimana amesema zaidi ya Wakongomani 40,000 wamekimbia mapigano yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuingia Burundi katika kipind . . .
Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega (MB) leo Desemba 11 mwaka huu amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kufanya mazungumzo mafupi na Mhe. Mtanda na kubainisha kuwa yupo kwenye ziara ya si . . .
Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama amefariki dunia leo 11 Desemba mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Azzan Zungu ambaye ameeleza kuwa Bunge lime . . .
Syria Jumatatu inaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa mtawala wa kidikteta Bashar al Assad, wakati taifa hilo lililoganwanyika likapambana kurejesha utulivu na kujijenga upya baada ya vita vya . . .
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)siku ya Jumapili jioni imetangaza kwamba imepeleka wanajeshi nchini Benin kufuatia jaribio la mapinduzi lililozuiwa na mamlaka mapema siku hi . . .
Kampuni ya Noble Helium kutoka Australia imetangaza mpango wa kuajiri zaidi ya vijana 50 kupitia utafiti mpya wa Helium unaotarajiwa kuanza mwezi Desemba hadi Februari katika kijiji cha Kinambo, Wilay . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene ametoa angalizo kali kwa wananchi kutoshiriki kile kinachoelezwa kama “maandamano ya amani yasiyo na mipaka wala mwisho” yanayohamasishwa mitan . . .
Watu 12 akiwemo mchungaji wametekwa nyara Novemba 30 mwaka huu wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la vijijini katikati mwa Nigeria ambapo ni tukio la hivi karibuni k . . .
WATU wasiopungua 50 wakiwemo watoto 33 wauawa katika shambulizi la droni katika eneo la Kordofan Kusini, Kalogi ambapo shambulizi hilo linasemekana kulenga shule ya chekechea.Ingawa kundi la wapiganaj . . .
Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa huko Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kwa kukabiliana na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na . . .
Serikali ya Nigeria imewezesha mpango wa kuachiliwa huru kwa wanafunzi 100 waliotekwa nyara na watu wenye silaha katika shule ya Kikatoliki mwezi uliopita. Hayo yameelezwa siku ya Jumapili na cha . . .
Mamlaka ya Benin imetangaza Jumapili kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililolenga kumuondoa madarakani Rais Patrice Talon Umoja wa Afrika umelaani jaribio hilo huku Jumuiya ya ECOWAS ikituma msa . . .
Desemba 5 mwaka huu mkoani Geita Katika muendelezo wa ziara yake ya kukutana na watumishi wa sekta ya afya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Ndugu Yefred Myenzi, amefanya kikao maalum na . . .
Watu wanne wamekamatwa na madini ya vito katika mtaa wa Togo, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, kufuatia operesheni maalum iliyofanywa na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge kwa kushirikiana na Jeshi . . .
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mpaka sasa imeshatoa vibali 72 vya kuruhusu wamiliki wa mabasi kuongeza mabasi ya muda ya kusafirisha abiria katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka . . .
SERIKALI imesema imezipokea na kuzifanyia kazi taarifa na matamko mbalimbali yaliyotolewa na nchi rafiki, mashirika ya kimataifa na taasisi za maendeleo kuhusu Tanzania na matukio ya uvunjifu wa amani . . .
Siku moja baada ya kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Kinshasa na Kigali nchini Marekani, mapigano mengi yameendelea kurindima mashariki mwa DRC siku ya Ijumaa, Desemba 5. Milipuko kadhaa ilisikik . . .
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amelielekeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linasambaza mita janja mpya za umeme katika mikoa yote nchini ili kuongeza ufanisi, kurahisisha hud . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameielekeza TANESCO kuchukua hatua na kuchunguza kwa kina kauli iliyotolewa na Padri Dk. Charles Kitima akidai kuwa shirika hilo lilizima umeme ili kur . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amewapongeza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi na Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa ujasiri wao wa kusaini mkataba wa amani unaolenga kumaliza mzo . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin anaanza ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano hususan katika sekta ya ulinzi. Ziara hiyo imefanyika wakati ambao India inakabiliwa . . .
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema wanafunzi 937,581 wamechaguliwa kuanza masomo ya kidato cha kwanza mwakani. Waziri wa Tamisemi Profesa Riziki Shemdoe . . .