Rais Samia awatunuku vyeo Maafisa Wanafunzi TMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku kamisheni katika Cheo Cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regular) waliohitimu kwenye Chuo cha mafunzo ya Kijeshi (TMA), Monduli Mkoani Arusha hii leo November 28, 2024.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii