Jeshi la Israel latangaza vifo vya wanajeshi wanane katika Ukanda wa Gaza

Jeshi la Israel linafanya mashambulizi makali kusini mwa Ukanda wa Gaza baada ya vifo vya wanajeshi wanane wa Israel katika mlipuko wa gari la kubeba wanajeshi huko Rafah siku ya Jumamosi Juni 15. Hili ni tukio baya zaidi kwa jeshi la Israel tangu kuanza kwa mwaka huu. Siku ya Jumamosi jioni maelfu ya watu walimiminika mitaani nchini Israeli kudai kurudishwa kwa mateka, lakini pia kupinga ukosefu wa usawa katika huduma ya kijeshi.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii