Harmonize Aweka Tangazo la Bango Barabarani Kuwa Yupo Single Tena

Kuandika Instagram pekee kuwa yupo single haijatosha kwa msanii @harmonize_tz ameendeleza Tena utaratibu wake wa kuwa kwenye mabango!

Boss huyo wa Konde Gang mara hii ajiweka picha yake mwenyewe inayoonesha akiwa maeneo ya beach ikiwa na ujumbe usemao "Single Again"

@harmonize_tz amejiweka kwenye bango hilo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ilipowahi kuwekwa bango lake akiwa na Kajala lililokuwa limeandikwa "Lovers" na kwa wakati huo alikuwa akiomba msamaha kureje

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii