Dereva Luqman Hemed Juma Mkazi wa kata ya Sinoni Mkoani Arusha aliyekuwa akiendesha Basi la Shule ya Ghati Memorial ( Toyota Hiace) lililopata ajali na kuua Wanafunzi nane April 12 2024, amekamatwa na . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Japan amezungumza kwa simu na mwenzake wa Iran siku ya Jumanne kuitaka nchi yake "kujizuia" ili kuepusha kuongezeka kwa mvutano, kulingana na ripoti ya mazungumzo yao iliyowa . . .
Wakaazi wa kijiji cha Pap Yamo huko Alego Magharibi wanaomboleza kifo cha ghafla cha mzee wa miaka 46. Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mwanamume huyo baada ya mwili wake kugunduliwa . . .
Wanafunzi saba wa Shule ya Msingi Ghati Memorial wahofiwa kufariki dunia baada ya gari la shule waliokuwemo kuangukia kwenye korongo lililojaa maji eneo la Dampo, Kata ya Muriet mkoani Arusha.Korongo . . .
Wanafunzi saba wa Shule ya Msingi Ghati Memorial wahofiwa kufariki dunia baada ya gari la shule waliokuwemo kuangukia kwenye korongo lililojaa maji eneo la Dampo, Kata ya Muriet mkoani Arusha.Korongo . . .
Mahakama Kuu masjala ya Dar es Salaam, imetoa kibali kwa askari watatu wa zamani Jeshi la Polisi nchini, waliofukuzwa kazi mwaka 2022, kufungua maombi dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), kupin . . .
Chama cha Waigizaji cha Nigeria (AGN) kimethibitisha rasmi kufariki kwa mwigizaji wa Nollywood John Paul Odonwodo, maarufu kwa jina la Junior Pope.Kumbuka kwamba siku ya Jumatano, mwigizaji huyo, pamo . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewahakikishia waathirika wa Mafuriko Wilayani Rufiji Mkoani Pwani kuwa Serikali itagharamia huduma zote za msingi.Ameyasem . . .
Zaidi ya watu 90 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka kaskazini mwa nchi ya Msumbiji.Wasafiri hao, walikumbwa na umauti Aprili 7, 2024 wakati wakikimbia mlipuko wa ugonjwa w . . .
POLISI mjini Eldoret wamefichua mtandao wa washukiwa wa ulanguzi wa watoto ambapo wafanyakazi wa hospitali ya kibinafsi wanakula njama na walanguzi hao kwa kughushi stakabadhi za kuzaliwa zinazotumiwa . . .
Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 12 amefariki na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya mwanafunzi mwenzao kuwashambulia kwa bunduki ndani ya shule kusini mwa Finland Jumanne.Shambulizi hilo limetokea ka . . .
Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani liliua watu 12 na kujeruhi wengine 30 Jumanne katika mji wa kaskazini mashariki mwa Sudan wa Atbara, ambao kufikia sasa, ulikuwa umeepuka vita vya kikatili, mada . . .
Serikali ya Taiwan imesema idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi imefikia tisa, huku Mamlaka za Uchina zikisema mbali na janga hilo hilo lenye ukubwa wa 7.4 katika kipimo cha Richter kuto . . .
MWANAFUNZI wa chuo kikuu, ambaye alikuwa mjamzito, alijiua katika mtaa mmoja mjini Kericho katika kisa kilichoshtua familia na wakazi.Ilisemekana kuwa Faith Charity Makhulu, 19, alijitoa uhai katika h . . .
Ama kweli Dunia ina mambo mengi ya kushangaza. Hebu mtazame huyo jamaa Pichani hapo chini.Anaitwa Max More, yeye ni Bilionea Raia wa Kampuni ya Alcor Life Extension inayopatikana Jimbo la Arizona Nchi . . .
Mahakama ya Wilaya Kiteto,Imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara.Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka m . . .
Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Kijana Mussa Ally Makandaje (32), Mkazi na Kijiji cha Msinjili Wilaya ya Tunduru baada ya kupatikana na hatia katika k . . .
Taarifa kutoka Ruvu, zinasema asubuhi ya leo Machi 28, 2024 imetokea ajali iliyohusisha bus la Kampuni ya Sauli lenye namba za usajili T 668 DTF, Basi la Kampuni ya Newforce lenye usajili T 175 DZU (G . . .
MWANAMUME aliyepoteza jamaa zake wanne katika mauaji yaliyotokana na itikadi kali yaliyohusishwa na mhubiri Paul Mackenzie Shakahola, Kilifi, anaiomba serikali kumsaidia kuwazika.Miili ya jamaa hao il . . .
Zaidi ya watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria mapema mwezi huu waliachiliwa Jumapili bila kujeruhiwa, maafisa na jeshi walisema.Utekaji nyara huo w . . .
Nchini Chad, mvutano bado unaendelea kushuhudiwa nchini humo, baada ya kifo cha mmoja wa wapinzani wakuu wa mamlaka ya baba na mwanaye Mahamat Déby, Yaya Dillo mnamo Februari 28, wakati vikosi vya us . . .
Familia ya mwanafunzi wa darasa la 8 katika Shule ya Msingi ya Joy Garden huko Tena-Umoja ina shauku kuhusu ripoti ya uchunguzi kifo cha mtoto wao. Mnamo Ijumaa, Machi 9, mwili wa mwanafunzi mwen . . .
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happn . . .
Mahakama nchini Kenya imemhukumu kifo Joseph Kuria Irungu ‘Jowie’ kwa kuhusika na mauaji ya Mfanyabiashara Monica Kimani yaliyotokea Septemba 2018.Hukumu hiyo, imetolewa na Jaji Grace Nzioka baada . . .