1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

SABABU YA ERIC OMONDI KUJENGA SAFINA

Mchekeshaji aliyegeuka kuwa mwanaharakati Eric Omondi ana shughuli nyingi kusaidia Wakenya walioathiriwa na mafuriko kupitia mpang . . .

JUSTIN BIEBER AZUA GUMZO BAADA YA KUWEKA PICHA MTANDAONI AKIWA ANALIA NA MKEWE KUMSIFIA ANALIA VIZURI.

Haijulikani ni nini Justin Bieber alikuwa anakipitia lakini siku ya jumapili amezua gumzo katika mtandao wa Instagram baada Justin . . .

Jembe Michezo

Ngoma awapa masharti viongozi Simba SC

Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo na Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kus . . .

Mchezaji Aziz K Ateuliwa Mchezaji Bora Mwezi wa Nne

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili 2024, kwenye NBC Premier League hu . . .

Jembe Habari

Uingereza yakashifiwa kwa kumpongeza mtoto wa rais Museveni

Wanaharakati nchini Uganda pamoja na wanasiasa nchini humo, wamewakosoa maofisa kadhaa wa juu wa Serikali ya Uingereza, kwa kile w . . .

Profesa"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere"

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi, ameiomba serikali kwamba ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner inayotarajiwa kuwasili . . .

Habari Zote
Afrika

Tume ya uchaguzi Chad yasema Mahamat Idriss Deby alishinda uchaguzi wa rais

Tume ya uchaguzi huko Chad lilisema Alhamisi kuwa Rais wa mpito Mahamat Idriss Deby alishinda uchaguzi wa urais wa Mei 6 kwa zaidi ya asilim . . .

Jamii

Aliyempofua mchumba kwa Tindikali jela miaka 30

Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fat . . .

SOKA

Ngoma awapa masharti viongozi Simba SC

Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo na Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikos . . .

Kimataifa

Uingereza yakashifiwa kwa kumpongeza mtoto wa rais Museveni

Wanaharakati nchini Uganda pamoja na wanasiasa nchini humo, wamewakosoa maofisa kadhaa wa juu wa Serikali ya Uingereza, kwa kile wamesema up . . .

Afrika

Rais Cyril Ramaphosa aita uhaini tangazo la kampeni ya chama cha upinzani

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alielezea kuwa ni uhaini kwa hatua ya tangazo la kampeni la chama cha upinzani ambalo linaonyesha bend . . .

Uchumi | Biashara

Neema kuwaangukia wachimbaji wadogo

Serikali kupitia Wizara ya Madini, inakusudia kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini, kuwawezesha upatikanaj . . .