Rema aondoka stejini kwa hasira

Staa wa muziki Nigeria Rema akionesha kuchukizwa na kuondoka stejini kwa sababu ya issues za sauti.


Kupitia video hii Rema akianza kuimba Hit yake ya Calm Down amesikika akisema

“Kuna issues nyingi za sauti inaharibu performance yangu yote sitaweza kumaliza yote, nawakilisha Africa na Afrika ipo ndani ya nyumba na unaharibu nitaondoka”

Baada ya maneno hayo Rema akawaaga mashabiki zake na kuondoka stejini akisema “Kuna issues nyingi za sauti watu wangu, nawapenda usiku mwema”.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii