logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 19, 2026

Ruto Aialika Arsenal Kutembelea Kenya Baada ya Sherehe za Ubingwa

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema ameialika klabu ya Arsenal kutembelea Kenya baada ya kushuhudia namna mashabiki wa timu hiyo walivyoshe . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2026

Kim Kardashian Aonyesha Nguvu ya Utajiri Wake wa Mabilioni

Nyota wa vipindi vya Televisheni na mjasiriamali, Kim Kardashian, anaendelea kuishi maisha ya kifahari yanayoakisi utajiri wake unaokadiriwa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 19, 2026

Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa TPLF kutokana na mvutano Tigray

Marekani imetangaza siku ya Alhamisi kwamba inaweka vikwazo kwa maafisa wa Tigray People's Liberation Front (TPLF), wanaoshutumiwa kudhoofis . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 19, 2026

Idadi ya vifo yazidi 200, wasiwasi wazuka Kivu Kaskazini kufuatia kuenea kwa virusi

Mlipuko wa virusi vya Ebola unaendelea kuenea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Nchi hiyo sasa ina wagonjwa 875 waliothibitish . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 19, 2026

Achraf Hakimi kushtakiwa rasmi kwa ubakaji

Mahakama ya Rufaa nchini Ufaransa imethibitisha leo kuwa nyota wa soka wa Morocco, Achraf Hakimi, atashtakiwa rasmi na kufikishwa mahakamani . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2026

Israel yaendeleza mashambulizi yake nchini Lebanon

Jeshi la Israel limesema leo kuwa limefanya mashambulizi ya anga ya usiku kucha dhidi ya maeneo ya wanamgambo wa Hezbollah kusini mwa Lebano . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

WAZIRI MCHENGERWA "HAKUNA MGONJWA WA EBOLA NCHINI"

SERIKALI imesema Tanzania bado haina mgonjwa wa Ebola na hali ya usalama wa afya nchini inaendelea kuwa nzuri, huku ikieleza kuwa imeimarish . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

TOFAUTI YA SUKUMAWIKI, CHAINIZI NA SPINCHI

Sukuma Wiki Ni mboga ngumu kiasi, jamii ya kabichi isiyoumba kichwa. Majani yake ni marefu, yana ukakamavu, na yanahitaji kuiva vizuri. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

WAZIRI MKUU AAGIZA USIMAMIZI MZURI WA MITAMBO YA UCHIMBAJI VISIMA

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wa Wizara ya Maji pamoja na Wakuu wa Mikoa wasimamie vizuri mitambo ya uchimbaji visima . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Marekani na Iran zakubaliana kusitisha vita

Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Iran, Masoud Pezeshkian, wamesaini makubaliano ya awali ya kusitisha vita, na kuanzisha mazungu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Mexico na South Korea Kukutana

Timu zote mbili zilianza mashindano kwa ushindi, ambapo Mexico iliifunga Afrika Kusini mabao 2-0 huku South Korea ikiibuka na ushindi wa mab . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Davido akosolewa kwa kulaani utekaji nyara wa wanafunzi

siasa za Nigeria zinaingilia tasnia ya burudani na ulimwengu wa muziki. Miezi saba kabla ya uchaguzi mkuu ujao, chama tawala cha All Progres . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Milio mingi ya risasi yasikika tangu alfajiri karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa

Milio mikubwa ya risasi imesikika tangu alfajiri ya Juni 18, 2026, karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Diori Hamani huko Niamey. Milio . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Putin atafuta kuimarisha ushirikiano na nchi za ASEAN

Rais wa Urusi Vladimir Putin hapo jana aliwakaribisha viongozi wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN, wakati nchi hiyo i . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Mashirika ya UN yaonya juu ya kitisho cha njaa duniani

Mashirika ya chakula ya Umoja wa Mataifa yameonya kuwa kiwango cha njaa kali kinatarajiwa kuongezeka katika maeneo 13 hatarishi duniani kati . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 18, 2026

Ukraine yashambulia Moscow na kutatiza safari za ndege

Ukraine imekishambulia kiwanda cha kusafisha mafuta mjini Moscow kwa mara ya pili ndani ya wiki moja, na kusababisha usumbufu mkubwa wa safa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

Mtoto wa rais na mkuu wa jeshi ajisifu kuhusu kumteka nyara wakili

Mkuu wa jeshi la Uganda Muhoozi Kainerugaba amejisifu, kwa ushahidi wa picha, kuhusu kutekwa nyara kwa wakili na mwanasiasa wa upinzani mnam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

Serikali ya Equatorial Guinea yajiuzulu

Serikali ya Equatorial Guinea imejiuzulu baada ya makamu wa rais, Teodoro Nguema Obiang Mangue, ambaye pia ni mwana wa rais, kusema kuwa ime . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

Wafikishwa Mahakamani Kisutu Kwa Tuhuma za Wizi wa Mafuta Ghafi

MSIMAMIZI wa tanki Kassim Kongwa na wenzake, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa shataka la wizi wa lita 2,800 za mafuta ya ghafi mali ya k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOA ELIMU YA USALAMA WA MTOTO MTANDAONI

Waandishi wa habari na waandaaji wa vipindi vya watoto nchini wametakiwa kutumia vyombo vyao vya habari kuelimisha jamii kuhusu usalama wa w . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

Diddy Apunguziwa Kifungo kwa Mara Nyingine

Msanii na mfanyabiashara maarufu wa muziki Sean Combs, anayejulikana pia kama Diddy, ameongezewa tena punguzo la muda wake wa kifungo huku t . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

AU inataka kukusanya fedha za kupambana na mlipuko wa Ebola

Kama ishara ya wasiwasi kuhusu mlipuko wa virusi vya Ebola nchini DRC, Umoja wa Afrika umeitisha mkutano kwa njia ya video siku ya Jumanne n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

Jukwa la C64 linamtaka Rais Félix Tshisekedi kujiuzulu

Jukwaa la kisiasa linalojumuisha vyama vya upinzani vinavyopinga mpango wa kufanyika kwa marekebisho ya katiba nchini DRC la C64 sasa limean . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2026

Iran "Israel ilazimishwe kuondoka Lebanon"

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kitendo cha Israel kuendelea kukalia eneo la kusini mwa Lebanon ni kukiuka na kuyaweka . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 16, 2026

Aliyetimuliwa Man Utd Kuwa Kocha Mpya AC Milan ya Italia

Kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim, anatarajiwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Italia, AC Milan, baada ya kukubaliana kwa masharti ya awali . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 16, 2026

Jenerali wa Zamani wa Jeshi la Nigeria Afariki Baada ya Kutekwa

Jeshi la Nigeria limethibitisha kifo cha Meja Jenerali mstaafu Rabe Abubakar, aliyekuwa msemaji wa jeshi kati ya mwaka 2015 na 2017, baada y . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 16, 2026

Mtoto wa Malkia wa Norway Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Makosa ya Ubakaji

Marius Borg Høiby, mtoto wa miaka 29 wa Malkia wa Norway, Mette-Marit, amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani baada ya Mahakama ya Wi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 16, 2026

Idadi ya watu walioambukizwa yafikia 782

Idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya Ebola nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imeongezeka na kufikia 782, ikiwemo . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • June 16, 2026

Ndege ya kijeshi ya Marekani yaanguka nane wahofiwa kufa

Taarifa hiyo iliyochapishwa katika mtandao wa kijamii wa Facebook imeongeza kwamba picha za angani hazikuonyesha chochote kilichosalia cha n . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 16, 2026

Cape Verde na Misri zaitoa kimasomaso Afrika kombe la Dunia

Katika michezo iliyochezwa hapo awali Cape Verde iliwashangaza wapenda kandanda duniani kwa kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya mabingwa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Shabiki afariki akiingia uwanjani Kombe la Dunia

SHABIKI wa soka mwenye umri wa miaka 80 amefariki muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani kuitazama Mexico ikivaana na Afrika Kusini katika mch . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Utafiti "Kushiriki mapenzi asubuhi huimarisha utendakazi"

WATAFITI wamebaini kuwa kuanza siku kwa kushiriki mapenzi huimarisha hisia na motisha ya kuchapa kazi.Utafiti huo uliofanyika Amerika na kuc . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Ndoa ya Zari na Shakib Cham yavunjika Baada ya Miaka Mitano

Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu, Zari Hassan, ametangaza rasmi kuachana na mume wake, Shakib Cham, baada ya kuwa pamoja kwa takribani . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Rais wa Zamani wa Korea Kusini Ahukumiwa Miaka 30 Jela

Mahakama ya Seoul imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk-yeol, kifungo cha miaka 30 gerezani kufuatia tuhuma za kuhusika katika . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Ukraine yahimiza raia kuondoka maeneo yanayokaliwa na Urusi

Ukraine imetoa tahadhari kwa raia wake wanaoishi katika maeneo yanadhibitiwa na Urusi na kuhamihiza waondoke kuepuka hatari ya mashambulizi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Trump adai makubaliano na Iran yako karibu, Tehran yasema bado haijafanya uamuzi wa mwisho

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya  Alhamisi, Juni 11, kwamba alifuta mashambulizi yaliyopangwa kwa siku hiyo dhidi ya Ir . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2026

Kabila avunja ukimya wake na kutoa wito kupambana dhidi ya marekebisho ya katiba

Rais wa zamani Joseph Kabila Kabange ametoa ujumbe mzito kwa raia wa Kongo siku ya Alhamisi, Juni 11, 2026, ambapo anapinga vikali mchakato . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

Wanasayansi wanaonya ongezeko la joto duniani linatarajiwa kufikia 1.5°C ifikapo mwaka wa 2030

Katika utafiti uliochapishwa mnamo Juni 11, muungano wa watafiti unabainisha kwamba lengo kuu zaidi la Mkataba wa Tabianchi wa Paris huenda . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA NISHATI SAFI JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ajenda ya nishati safi ya kupikia, . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 11, 2026

Mwigizaji Mkongwe Mzee Onyango Afariki Dunia Alfajiri ya Leo

Tasnia ya sanaa ya maigizo nchini Tanzania imegubikwa na simanzi kufuatia taarifa za kifo cha muigizaji Mkongwe Issa Joseph maarufu Mzee Ony . . .

Kurasa 18 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category