MAHAKAMA imeamuru afisa wa zamani wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), Kapteni mstaafu Edwin Muthomi Kaunga, kusitisha mara moja madai ya viti . . .
Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amewataka waajiri nchini kutumia kikamilifu fursa ya msamaha wa toz . . .
.MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imefanikiwa kukamata watuhumiwa 550 wa makosa mbalimbali yan . . .
Shirika la Kimataifa la Safari za Baharini - IMO limesitisha kwa muda uhamishaji wa meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz. Hii ni baada ya je . . .
Polisi Kenya waliwakamata mamia ya watu na kufyatua mabomu ya kutoa machozi siku ya Alhamisi wakati familia za wahanga wa maandamano ya kupi . . .
Ivory Coast sasa imeainishwa kama nchi iliyo katika hatari ndogo ya madeni kupita kiasi, kulingana na Wizara ya Uchumi na Fedha ya Côte d'I . . .
Idadi ya vifo vya muda kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyoikumba Venezuela siku ya Jumatano, Juni 24, 2026, inaendelea kuongezeka . . .
Marekani imekiwekea vikwazo kiwanda cha kusafisha madini cha Rwanda kwa biashara haramu ya dhahabu inayohusishwa na waasi nchini DRC.Marekan . . .
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kupambana na biashara ya bidhaa bandia kwa kuwa zinakwamisha ukuaji wa viwanda, . . .
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo (STPU), kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, limefanikiwa kuwakamata watu . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo na taasisi za afy . . .
Shughuli za umma na zile za binafsi nchini Kenya, hivi leo zinatarajiwa kutatizika katika baadhi ya maeneo kufuatia wito wa maandamano ya am . . .
Shirika la Afya Duniani - WHO limesema "hatari ya mlipuko wa Ebola kuenea duniani bado ni ndogo." Hii ni hata baada Ufaransa kutangaza Jumat . . .
Baraza la Seneti nchini Zimbabwe limeidhinisha kwa wingi mkubwa marekebisho ya katiba yenye utata ambayo yatamfanya Rais Emmerson Mnangagwa . . .
Viongozi wa Ulaya wamethibitisha tena dhamira yao ya kuwa na ushirikiano imara wa ulinzi kabla ya mkutano wa kilele wa NATO mwezi ujao huko . . .
Meli zilianza kupita katika Mlango-Bahari wa Hormuz jana Jumatano chini ya mpango mpya wa shirika la shughuli za Baharini la Umoja wa Mataif . . .
Rais Vladimir Putin amesema nchi za Magharibi, zikiongozwa na jumuiya ya kujihami ya NATO, zinajiandaa kikamilifu kwa vita dhidi ya Urusi, h . . .
Iran imekanusha kauli ya rais wa Marekani kwamba ilikubali ukaguzi wa nyuklia "usio na kikomo," ikisema haijafikia makubaliano yoyote ya ain . . .
WANAWAKE wengi wasio na waume nchini Kenya wameibuka na mbinu mpya ya kujikinga dhidi ya usumbufu wa wanaume wanaowafuatilia kimapenzi bila . . .
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefunga rasmi Mashindano ya Kombe la CNS Cup 2026 katika Kambi ya JKT Mgulani jijini Dar es Salaam, huku liki . . .
Klabu ya Manchester United imepiga hatua kubwa katika mpango wake wa kujenga uwanja mpya wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 100,000 . . .
Oman na Iran zimekubaliana kuendeleza mazungumzo kuhusu mustakabali wa usimamizi wa shughuli za usafiri wa baharini katika Mlango wa Hormuz, . . .
Familia ya rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imepata ushindi mkubwa wa kisheria baada ya Mahakama Kuu ya Rufaa ya Afrika Kusini kuamua . . .
Idadi ya watoto ambao elimu yao inavurugwa na migogoro au misukosuko ya hali ya hewa inaendelea kuongezeka duniani kote. Sasa imefikia milio . . .
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ametamatisha ziara yake ya siku 2 hapo jana jijini Kinshas . . .
Utawala wa kijeshi wa Niger, umewasilisha rasmi barua ya kutaka kujitoa kama mwanachama wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uh . . .
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray, leo tarehe 22 Juni, 2026 ametembelea banda . . .
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua jengo la Tiba Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda KCMC mkoani Kilimanjaro lenye tha . . .
Tume ya uchaguzi nchini Sudan Kusini, imetangaza kwamba uchaguzi wa urais utaandaliwa Disemba 22 mwaka huu wa 2026, baada ya zoezi hilo lili . . .
Rais William Ruto wa kenya, hivi leo anatarajiwa kutia Saini kuwa sheria, muswada wa fedha wa mwaka 2025, baada ya bunge la kitaifa wiki ili . . .
Watoto wawili wamekutwa wamekufa ndani ya gari nchini Ufaransa huku sehemu kubwa ya Ulaya ikikabiliwa na joto kali na mamlaka za kitaifa zik . . .
Maambukizi 1,003 ya Ebola yamerekodiwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mlipuko wa hivi karibuni umesababisha pia vifo vya wa . . .
Marekani imetangaza kuondoa vikwazo dhidi ya Iran kwa muda wa siku 60 kuanzia Jumatatu baada ya kufanyika mazungumzo ya kudumisha makubalian . . .
Nahodha wa Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuahidi kuwazawadia wachezaji wenzake wa timu ya Taifa ya Ureno magari mapya ya kifahari aina ya Ro . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt, Netumbo N . . .
Tume ya Uchaguzi ya Ethiopia imetangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika wiki tatu mapema Jumapili, Juni 21. Chama cha Prosp . . .
Jennifer Lopez amefunguka kuhusu moja ya nyakati ngumu zaidi katika maisha yake ya kazi, akieleza jinsi alivyolazimika kukimbizwa hospitalin . . .
Mataifa ya Ulaya yanakabiliwa na wimbi la joto kali huku yakilazimika kuchukua hatua kadhaa ili kuepusha maafa.Serikali ya Ufaransa imeviwek . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anakabiliwa na shinikizo linaloongezeka la kumtaka ajiuzulu.Hii ni baada ya mpinzani wake mkubwa katik . . .
Mazungumzo kati ya Iran na Marekani yenye lengo la kukomesha vita vya Mashariki ya Kati, yameendelea usiku wa kuamkia Jumatatu licha ya kuwa . . .