Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye, amerudishwa katika Gereza la Luzira kutoka Hospitali ya Taifa ya Rufaa ya Mul . . .
Mamlaka nchini Marekani zinaendelea kumsaka mwanamke mmoja anayehusishwa na kifo cha wanaume wawili waliouawa kwa kupigwa risasi katika eneo . . .
Akizungumza na gazeti la Bild am Sonntag, Dobrindt ameongeza kwamba mataifa ya kigeni yapo katika mawindo ya kuchochea hofu, kuvuruga na kus . . .
Usiku wa kuamkia leo nchini Ukraine shambulio la Urusi limewaua watu wawili na kuwajeruhi wengine 23 katika mji wa kaskazini wa Kharkiv, hay . . .
Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki imethibitisha kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili nyota wa Misri, Mohamed Salah, huku ikitangaza kuwa mc . . .
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, anatarajiwa kuongoza mkutano wa dharura na viongozi waandamizi wa shirikisho hi . . .
Msanii na mfanyabiashara maarufu wa muziki Sean ‘Diddy’ Combs ataendelea kutumikia kifungo chake kwa muda mrefu zaidi baada ya mamlaka z . . .
Klabu ya Azam FC leo Agosti 5, 2026, imezindua rasmi jezi zitakazotumika katika msimu wa mashindano wa 2026/27, ikiwa ni sehemu ya maandaliz . . .
Morocco imesema iliionya Hispania mapema kwamba uamuzi wa Mahakama Kuu wa kutorejesha haraka wahamiaji wanaowasili kwa njia ya bahari ungewe . . .
Majaribio ya dawa na chanjo dhidi ya mlipuko wa Ebola yameanza ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na kudhibiti ugonjwa huo katika taif . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa makubaliano kuhusu kuufungua tena Mlango Bahari wa Hormuz yanaweza kutangazwa hivi karibuni. Amey . . .
Ubongo wa mwanadamu ni kiungo muhimu ambacho kinategemea usambazaji wa damu unaoendelea. Kutatizika kwa mtiririko wa damu kunaweza kukata ok . . .
Mahakama ya Israel imetoa amri ya muda ya kusimamisha mpango wa kutumia mamba wa mto Nile kama sehemu ya ulinzi kuzunguka gereza linalowashi . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Um . . .
Watu wanne, wakiwemo raia watatu, wameuawa na mwanajeshi mmoja huko Sevastopol, gavana wa eneo hilo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi katika ene . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini, ana fahamu lakini "hali yake ni dhaifu sana" na hawe . . .
Shirika la kufuatilia usalama wa shughuli za baharini la Uingereza, UKMTO, limesema meli moja ya mizigo imeshambuliwa kwa kombora lisilojuli . . .
Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imewataka wananchi kutumia fursa ya Maonesho ya Nanenane kutembelea banda la DIB ili kupata elimu kuhusu ulinzi . . .
Gazeti la Hamshahri, linalomilikiwa na Manispaa ya Tehran, limedai kuwa sababu ya kutotolewa kwa sauti ya Kiongozi mpya wa Jamhuri ya Kiisla . . .
Wanachama wa Yanga wamewachagua wajumbe watano wapya wa Kamati ya Utendaji katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Uk . . .
Nchini Uganda, uteuzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika leo Jumatatu, huku mchakato huo ukikubwa na ukiukaji wa sheria.Uchag . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Andy Burnham amesema Rais wa FIFA Gianni Infantino sio mtu sahihi kuliongoza shirikisho hilo la kandanda kufuatia m . . .
Mji wa Ceuta mwishoni mwa juma haukuonekana tena kama jiji lililokuwa na wasiwasi, lakini wakazi bado walikuwa wameshtushwa na matukio ya wi . . .
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu wa 2026/27 utachezwa katika Uwanja wa Amaan, . . .
Staa wa muziki wa Afropop kutoka Nigeria, Davido, amewaonesha mashabiki wake jumba jipya alilonunua hivi karibuni katika jimbo la Georgia, M . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-CENTRE), David Kafulila, amesema kuwa mfumo wa ubia kati y . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amewataka wanasheria wa shirika kuendelea kusimamia maadili y . . .
Maelfu ya wahamiaji usiku wa kuamkia leo hii walivuka kutoka Morocco kuingia katika eneo la Ceuta linalodhibitiwa na Uhispania katika Afrika . . .
Rebeca Grynspan wa Costa Rica ameongoza duru ya kwanza ya kura isiyo rasmi ya kumtafuta mrithi wa António Guterres kama Katibu Mkuu wa Umoj . . .
Takriban watu wanane wauwawa na wengi kujeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya miji mbali mbali ya Ukraine huku Rais Zelensky a . . .
Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda anayezuiliwa jela Kizza Besigye ambaye hapo jana alianguka akiwa mahakamani, amelazwa hospitali a . . .
Nchini Cameroon, vifo vitatu katika siku chache tu huko Bamenda na vitongoji vyake vinatumika kama ukumbusho dhahiri kwamba ukosefu wa usala . . .
Ajali za majini zimeendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazohatarisha maisha ya maelfu ya wananchi wanaotegemea Ziwa Victoria kwa shughul . . .
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa maofisa maendeleo ya Jamii kuhakikisha wanazingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, . . .
Mvutano mkubwa umeibuka ndani ya Shirikisho la Soka Duniani baada ya taarifa kudai kuwa Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anapanga kuuza sehem . . .
Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeidhinisha jana Jumanne sheria inayoruhusu kufanyika kwa kura ya maoni.Wakosoaji wa . . .
Mahakama ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga imemhukumu Isa Musini Rashidi maarufu kama Hamidu kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatian . . .
Liverpool wanadaiwa kufikia makubaliano ya awali (agreement in principle) na winga wa Bradley Barcola kuhusu uhamisho wa majira haya ya kian . . .
Katika Mashariki ya Kati, mashambulizi ya anga yameanza tena Jumatano, Julai 29, baada ya utulivu wa siku kadhaa. Jeshi la Marekani limetang . . .
Shirika la habari la Nation limetangaza kurejelea shughuli zake nchini Uganda, mwezi mmoja baada ya mkuu wa majeshi nchini humo, Muhoozi Kai . . .