logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Mamlaka yawakamata wahamiaji waliotaka kuingia Uhispania

Mamlaka nchini Morocco zimewakamata mamia ya wahamiaji waliotaka kuvuka mpaka ili  kuingia katika eneo la Ceuta lililoko kaskazini mwa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Kurdistan ya Iraq yalengwa na shambulio la ndege isiyo na rubani

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Kurdistan, eneo linalojitawala kaskazini mwa Iraq, imelengwa usiku wa Jumapili, Agosti 16, kuamkia Jumatatu, Agosti . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Kushner kufanya mazungumzo na Netanyahu

Mjumbe maalumu wa Marekani Jared Kushner atakutana hii leo Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.Hii ni baada ya Kushner ya m . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 17, 2026

Rais Hichilema aongoza kwenye matokeo ya kura

Rais Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya uchaguzi wa urais Zambia, baada ya zaidi ya nusu ya majimbo kutangaza matokeo yake.Tume . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2026

ULEGA "BARABARA YA KIBAONI–SITALIKE KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI KATAVI NA MAENEO JIRANI"

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa ujenzi wa Barabara ya Kibaoni–Sitalike (km 70) ni muhimu katika kuchochea shughuli za kiuch . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2026

Trump Aomba Mahakama Kuruhusu Ujenzi wa Ukumbi wa Ikulu Kuendelea

Rais wa Marekani, Donald Trump, kupitia utawala wake, umeomba Mahakama ya Juu ya Marekani iruhusu kuendelea kwa ujenzi wa ukumbi mkubwa wa W . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2026

Iran yaitaka Qatar iwaachilie marubani wake watatu

Iran imeitaka Qatar iwaachilie marubani wake wa tatu wa kijeshi inaodai walikamatwa baada ya ndege zao kuanguka wakati wa vita vya Mashariki . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 16, 2026

Israel ladai kumuuwa kamanda wa ngazi ya juu wa Hezbollah

Jeshi la Israel limedai kuwa limemuua kamanda mwandamizi wa kundi la Hezbollah Hassan Alaa katika shambulio lililolenga kusini mwa Lebanon. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

SERIKALI YAONGEZA FURSA KWA WATANZANIA KUNUFAIKA NA SEKTA YA MADINI

Serikali imeendelea kufanya maboresho katika Sheria na Kanuni za Madini kwa lengo la kuongeza ushiriki wa Watanzania katika sekta ya madini, . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

TANZANIA NA UJERUMANI ZAIMARISHA USHIRIKIANO WA MAENDELEO KWA WANANCHI NA UCHUMI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

Madereva Polisi watakiwa kuwa mfano usalama barabarani

Madereva wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani na kuacha kutumia nafasi zao kama aska . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

KIONGOZI MWENGE WA UHURU ARIDHISHWA TENKI LA MAJI BUHONGWA

MWENGE wa Uhuru 2026 umeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa tenki la kuhifadhi maji Buhongwa, jijini Mwanza, mradi unaolenga kuimarisha upat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

Dkt. Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa Zanzibar, Ama . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

Ghana na Afrika zafufua matumaini ya Kombe la Dunia 2027

Timu hizo sasa zitaungana na mataifa ya Taiwan, Uzbekistan, Papua New Guinea na Venezuela au Ecuador katika mashindano ya mataifa sita mwezi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 14, 2026

Urusi na Ukraine zabadilishana miili ya wanajeshi waliouawa

Ukraine imesema leo kwamba imepokea miili ya wanajeshi wake 261 waliouawa vitani, huku Urusi kwa upande ikisema miili 24 imekabidhiwa kwao n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 13, 2026

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji Kuelekea Kilele cha Tamasha la Kizimkazi

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Mradi wa Maji Kizimkazi, ikiwa ni sehemu ya shughuli za m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 13, 2026

Zaidi ya nchi 30 zalaani watu kunyongwa nchini Iran.

Zaidi ya nchi 30, zikiwemo Ufaransa, Uingereza na Canada , zimeilaani Iran kwa kuendelea kutekeleza hukumu za kifo dhidi ya waandamaji, waki . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 13, 2026

PSG yaitandika Aston Villa na kutwaa UEFA Super Cup

Paris Saint-Germain imeendelea kuthibitisha ubora wake barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Aston Villa katika fai . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 13, 2026

Zambia yapiga kura, Hichilema akitarajiwa kuibuka mshindi

Raia wa Zambia leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na viongozi wa serikali za mitaa, huku Rais Hakainde Hichilema akitar . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 12, 2026

RAIS DKT. MWINYI: TAMASHA LA KIZIMKAZI LIMEENDELEA KUFUNGUA FURSA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Tamasha la Kizimkazi limeendelea kuwa jukwaa mu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 12, 2026

Kesho ni Siku ya Maamuzi Zambia, Hichilema Akabiliwa na Mtihani Mzito Katika Uchaguzi Mkuu

Zambia iko tayari kwa uchaguzi mkuu unaofanyika kesho, Alhamisi, Agosti 13, 2026, ambapo wananchi watapiga kura kumchagua Rais, wabunge pamo . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 12, 2026

Watu 60 wameuawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Sudan Kusini

Watu 60 wameuawa nchini Sudan Kusini, baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha, katika uvamizi wa wizi wa mifugo katika jimbo la Warrap, K . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Kim Kardashian Avamiwa Nyumbani, Mtu Mmoja Akamatwa

Nyota wa Marekani Kim Kardashian amekumbwa na tukio la uvamizi katika moja ya nyumba zake zilizopo eneo la Hidden Hills, Los Angeles, ambapo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Rudisha silaha mwenyewe bila kutafutwa – Chalamila

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi wanaomiliki silaha kuhakikisha wanazifikisha katika mamlaka husika kwa a . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM KISONGE

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wanachama wa Maskani Kaka ya Kisonge, Mjini . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Waziri Ndejembi mgeni rasmi mdahalo wa nishati safi Kizimkazi

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.), amewasili Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja-Zanzibar, ambapo ni mgeni rasmi katika Mdahalo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Trump aagiza mapitio ya ratiba ya chanjo za Watoto

Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini agizo la kiutendaji kufikiriwa upya kwa sheria zinazolazimisha watoto wa shule kupewa chanjo za . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Fahamu Jinsi Kisukari Kinavyoweza Kuharibu Mishipa ya Fahamu na Kusababisha Ganzi

Ganzi katika miguu ni mojawapo ya matatizo yanayoweza kuwapata watu wenye kisukari, hasa wale ambao wamekuwa na kiwango cha juu cha sukari m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Simba Yakutana na Kaa la Moto

Pazia la NBC Premier League msimu wa 2026/27 linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 14, huku timu mbalimbali zikianza kampeni ya kusaka point . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Sierra Leone yapitisha sheria ya uchaguzi inayozozaniwa

Bunge la Sierra Leone limeidhinisha mageuzi ya kikatiba yatakayobadilisha sheria za uchaguzi nchini humo kabla kinyang'anyiro cha kuwania ur . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 11, 2026

Zaidi ya watu 100 wafa kwa tetemeko la ardhi Colombia

Tetemeko kubwa la ardhi la kipimo cha 7.4 cha Richter limeikumba Colombia na kuua watu zaidi ya 100 huku wengine wakifunikwa na vifusi.Kulin . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Baba Mzazi wa Lionel Messi Jorge Azikwa Nchini Argentina

Baba mzazi wa  nyota wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi, Jorge Messi amezikwa katika makaburi binafsi ya El Prado, karibu na mji wa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Mourinho Afichua Kilichomfanya Agome Kuchukua Nafasi ya Sir Alex

JOSE Mourinho amefichua kuwa aliwahi kusaini makubaliano ya kuchukua nafasi ya ukocha wa Manchester United kutoka kwa Sir Alex Ferguson mwak . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Jordyn Lucas Baada ya Kukutana na Drake, Azawadiwa Mkoba wa Mil 66

Mrembo wa Marekani, Jordyn Lucas, ametimiza ndoto yake ya muda mrefu baada ya kupata nafasi ya kukutana na rapa maarufu Drake.Baada ya kukut . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Baada ya kuachiliwa kwa wafungwa 15, tofauti zinaendelea kati ya Kinshasa na AFC/M23

Nchini DRC, kukabidhiwa kwa wafungwa kumi na watano kwa AFC/M23 kulipokelewa vyema na Qatar na Marekani kama hatua ya kwanza ya kujenga iman . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Netanyahu aukataa mpango wa amani wa Gaza ulioratibiwa na Marekani

Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameukataa mpango amani wa Gaza ulioratibiwa na Marekani na kukubaliwa na Hamas, hatua inayoonesha . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Uchaguzi wa urais kufanyika wiki hii nchini Zambia

Raia wa Zambia Alhamisi ya wiki hii watapiga kura katika uchaguzi wa rais unaofuatiliwa kwa karibu na ambao utakuwa kipimo cha mafanikio ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

IRGC "Hatufungui Hormuz hadi Marekani itakapokidhi masharti"

Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran kimesisitiza hakitaufungua Mlango Bahari wa Hormuz hadi Marekani itakapokubali masha . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 10, 2026

Malawi na Cameroon zatinga nusu fainali WAFCON

Malawi na Cameroon zimefanikiwa kuingia nusu fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake, WAFCON, na kufuzu kushiriki Kom . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 9, 2026

Watu 8 Wafariki, Wakiwemo Walimu 5 Baada ya Kijana wa Miaka 14 Kufyatua Risasi Shuleni

Watu wasiopungua wanane wamefariki dunia, akiwemo kijana mwenye umri wa miaka 14 anayedaiwa kuhusika na tukio hilo, baada ya shambulio la ri . . .

Kurasa 11 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category