Chama Cha Mapinduzi kimewahakikishia Wananchi kuwa kitabaki na umadhubuti wake wa kubeba matumaini ya Wananchi wote bila kujali imani zao za . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazoanza kutumika . . .
Raia wa Afrika Kusini, hivi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, uchaguzi ambao unatarajiwa ama kukiimarisha chama tawa . . .
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2026, huku watahiniwa 970,876 wakif . . .
Mshambuliaji wa klabu ya CD Tenerife ya Hispania, Jesus de Miguel Alameda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kupata majerah . . .
GAVANA wa Tana River, Bw Dhadho Godhana, ameeleza sababu zinazomfanya kutotumia mara kwa mara ofisi yake rasmi mjini Hola, na badala yake ku . . .
Viongozi wa Commonwealth wamekusanyika Antigua kujadili biashara, migogoro na mabadiliko ya tabianchi. Fidia kutokana na biashara ya utumwa . . .
Wakati huu raia wa Afrika Kusini wakijiandaa kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa Jumatano ya wiki hii, masuala ya huduma za msi . . .
Urusi imethibitisha Jumanne, Novemba 3, 2026, kwamba itashiriki katika mazungumzo na Ukraine yaliyotangazwa na Marekani, ambayo yatafanyika . . .
DIWANI wa Kata ya Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Marco Munga ameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya tembo waliovamia baadhi . . .
Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Nandy maarufu kama African Princess, ametangaza rasmi ujio wa album yake mpya inayokwenda kwa jina la 911, . . .
Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, amesema matokeo ya uchaguzi nchini Israel yaliyoonesha Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupat . . .
Watu tisa wamefariki dunia baada ya ndege binafsi waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Palm Beach, jimbo la Florida nchini Marekan . . .
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Danford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa T . . .
Viongozi mbalimbali wa kisiasa na wa mashirika ya kiraia nchini DRC wameikosoa kauli ya rais Felix Tshisekedi kuhusu kukanusha kifo cha muan . . .
Maelfu ya wananchi wameandamana katika jiji la Tel Aviv nchini Israel, wakimtaka kiongozi wa upinzani, Gadi Eisenkot, kuingia makubaliano ya . . .
Familia ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, imeamua kusogeza mbele mazishi ya kaka yao, Wakil . . .
Klabu ya Yanga inaelezwa kuwa katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kumrejesha aliyekuwa kocha wake mkuu, Sead Ramovic, raia wa Ujer . . .
Mahakama Kuu imewaamuru Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai (DCI) Mohamed Amin kumfikisha kortini . . .
Kansela Friedrich Merz amesema Ulaya iko tayari kushirikiana na Asia kuimarisha biashara inayozingatia sheria huku akionya kuhusu athari za . . .
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi waendelee kuitangaza vyema nchi na kuongeza juhudi . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametoa maagizo kwa watendaji na viongozi wa Serikali walionunua magari . . .
Watu watatu wamefariki dunia baada ya helikopta mbili kugongana zikiwa angani karibu na Uwanja wa Ndege wa McMinnville, katika jimbo la Oreg . . .
Rais wa Jamhuri ya Angola, João Manuel Gonçalves Lourenço, amewasili jijini Dodoma, Oktoba 30, 2026 akitokea jijini Dar es Salaam k . . .
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu nchini Israel yametangazwa rasmi, huku chama cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na washirika wake wakipat . . .
Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza, wamelaani vitendo vya kutelekeza miili ya w . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Angola zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika se . . .
Manchester City na Liverpool zimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Ligi England baada ya kushinda mikwaju ya penalti dhidi ya Brighton . . .
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amekosa kupata wingi wa viti vya kumwezesha kuunda serikali peke yake baada ya uchaguzi mkuu ulio . . .
Uhispania imeanza siku tatu za maombolezo baada ya ajali ya treni kuua watu 68 na kujeruhi wengine wengi. Ni ajali ya pili ya treni za mwend . . .
Wizara ya Hazina ya Marekani imeiwekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya Rwanda na Benki ya Zigama kwa kuunga mkono waasi wa M23 mashariki mashari . . .
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameelezea kipigo cha kushtua cha timu yake dhidi ya Fleetwood Town kuwa ni “siku ya huzuni kubwa” . . .
Miss Grand International, Mrembo Jihan Dimack ametua Bungeni leo, Oktoba 28, 2026, katika ziara inayompa fursa ya kujionea shughuli za Bunge . . .
Mkutano wa tatu, kati ya viongozi wa mataifa ya bara la Afrika na Urusi, unafanyika siku ya Jumatano na Alhamisi, jijini Moscow.Urusi inaend . . .
Mkuu wa usalama wa Iran Mohsen Rezaei, Jumanne ya wiki hii, alikutana na kiongozi wa juu wa kiroho nchini humo Ayatollah Mojtaba Khamenei, a . . .
Wananchi wa Israeli wanasubiri matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu uliofanyika jana, huku ripoti zikionesha kuwa, kuna ushindani mkali kati y . . .
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeitaka Serikali ya Kenya kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini alipo mwanaharakat . . .
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simarenga, akiambatana na Jeshi la Polisi, amesitisha sherehe ya ndoa ya mwanafunzi wa kidato cha nne katik . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limewakamata watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na makosa ya mauaji yaliyotokea katika Wilaya ya Simanjiro, m . . .
Shambulio la ndege zisizo na rubani katika soko huko Nyala, mji mkuu wa kikosi cha wanamgambo wa Rapid Support Forces RSF eneo la magharibi . . .