logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
matukio
  • Na Asha Business
  • 2 masaa yaliopita

MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA MAOKOTO WANAENDELEA VIZURI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema majeruhi wa ajali ya basi la Maokoto iliyotokea katika eneo la Masumbo, barabara kuu ya Iringaâ . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • 2 masaa yaliopita

Alute alisimamia kesi ya CCM licha ya familia kumkataza

Marehemu Wakili Alute Mughwai Lissu aliwahi kushawishiwa na familia yake kuachana na uwakilishi wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ka . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • 3 masaa yaliopita

Familia ya Alute Mughwai yakabidhi CHADEMA kuratibu mazishi

Familia ya marehemu Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imekabidhi chama hicho jukumu la kuratibu shughuli zote . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 3 masaa yaliopita

Shinikizo laongezeka dhidi ya Waziri Hegseth

Mbunge wa Republican nchini Marekani Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumng'oa Waziri wa Ulinzi Pete Hegseth kwa madai ya kuendesha vita d . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 3 masaa yaliopita

Joto la dunia laendelea kupanda

Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) unaendelea mjini Antalya, huku viongozi, wataalamu wa mazingira na . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • 3 masaa yaliopita

Mshukiwa wa mauaji ya kimbari arejeshwa Rwanda kutoka Marekani

Raia wa Rwanda aliyekuwa amefungwa nchini Marekani kwa kosa la kusema taarifa za uongo kuhusu ushiriki wake kwenye mauaji ya kimbari mwaka 1 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • 3 masaa yaliopita

Lissu Aanza Mchakato wa Rufaa Kupinga Hukumu ya Miaka Minne Jela

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, ameanza rasmi mchakato wa kupinga hukumu ya kifungo cha mia . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • 3 masaa yaliopita

Rais Samia Aagana Na Viongozi JNIA, Aondoka Kuelekea Uturuki Kushiriki COP31

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ju . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • 24 masaa yaliopita

Boti ya wahamiaji yazama Senegal watu 21 wafariki

Watu wasiopungua 21 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji kuzama katika Bahari ya Atlantiki, karibu na Kébémer, kaska . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 24 masaa yaliopita

COP31 Yaaanza kwa mvutano wa fedha za tabianchi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amewataka viongozi wa dunia kuchukua hatua za haraka na za dhati dhidi ya mabadiliko ya t . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • 24 masaa yaliopita

Kigali yajiandaa kwa athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye mfumo wa afya

Wizara ya Afya ya Rwanda imechapisha ripoti yake ya kwanza kuhusu udhaifu wa sekta hiyo na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 24 masaa yaliopita

Eisenkot Amkaribisha Netanyahu Kwenye Serikali Mpya

Mwanasiasa wa Israel, Gadi Eisenkot, amesema yuko tayari kumruhusu Waziri Mkuu wa sasa, Benjamin Netanyahu, pamoja na washirika wake wa kisi . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • 2 siku zilizopita

Fahamu Sababu Zinazofanya Mapera Kuwa Miongoni mwa Matunda Bora

Mapera ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa urahisi lakini yana virutubisho muhimu kwa afya ya mwili. Tunda hili lina ladha nzuri, lin . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • 2 siku zilizopita

Misri Yamtema Hossam, Wake Zake Watajwa,

Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri (EFA) limemfuta kazi kocha mkuu wa timu ya taifa, Hossam Hassan, pamoja na benchi lake la ufundi na ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 2 siku zilizopita

Netanyahu Apata Pigo Jipya

Rais wa Israel, Isaac Herzog, amemteua aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF), Gadi Eisenkot, kujaribu kuunda serikali mpya kuf . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • 2 siku zilizopita

Askari wa Miaka 33 Auawa Kazini, Aacha Mke na Mtoto wa Mwaka Mmoja, Wengine Watatu Wajeruhiwa

Askari mmoja wa polisi ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika majibizano ya risasi na mtu mwenye silaha ndani ya basi katika mji wa Lak . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • 4 siku zilizopita

Mchungaji Mackenzie afungwa jela miaka 200 kwa kosa la mauaji

Mahakama nchini Kenya imemhukumu mchungaji Paul Mackenzie, kifungo cha miaka 200 jela kwa kosa la kuwauwa watu 191, ambao 190 kati yao walik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • 4 siku zilizopita

Lissu Kufungwa Miaka Minne Gerezani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela na Mahakama Kuu ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • 4 siku zilizopita

Lissu Kufungwa Miaka Minne Gerezani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela na Mahakama Kuu ya . . .

TOP STORY
  • Na Asha Business
  • 5 siku zilizopita

FAHAMU KUHUSU BAHARI NYEUSI

Unapoisikia bahari, huenda ukawaza maji ya bluu, mawimbi makubwa, samaki na viumbe mbalimbali wa majini. Lakini je, umewahi kusikia kuhusu b . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • 5 siku zilizopita

BoT YAWEKA NJIA RAHISI KWA WANANCHI KUPATA HAKI WANAPODHULUMIWA NA WATOA HUDUMA ZA FEDHA

WANANCHI wanaotumia huduma za kifedha nchini sasa wanaongezewa fursa ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia utatuzi wake kwa urahisi kupiti . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • 5 siku zilizopita

Mahakama yafuta uteuzi wa mgombea wa urais wa kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar

Mahakama nchini Nigeria imebatilisha rasmi uteuzi wa mgombea wa urais wa kiongozi wa upinzani, Atiku Abubakar, kwa ajili ya uchaguzi ujao wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • 5 siku zilizopita

Rais kuendelea kushikilia madaraka ni 'kinyume cha sheria' kulingana na Mahakama Kuu

Mahakama Kuu ya Somalia imeamua rasmi kuwa kuendelea kubaki madarakani kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud ni "kinyume cha sheria".Mahakama imeel . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • 5 siku zilizopita

Kim Kardashian Arejea Kwenye Msimu wa Pili Wa ‘All’s Fair’ Licha ya Kukosolewa Vikali

Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Kim Kardashian, amerejea katika msimu wa pili wa tamthilia ya kisheria ya All’s Fair, lic . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 5 siku zilizopita

Netanyahu Atoa Onyo Kali Dhidi ya Serikali Itakayoungwa Mkono na Vyama vya Kiarabu

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepinga uwezekano wa kuundwa kwa serikali ya wachache itakayokuwa madarakani kwa kutegemea uungw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

Marekani: Trump Ashindwa, Wademokrasia Wachukua Udhibiti wa Bunge

Wamarekani wamepiga wamepiga kura siku ya Jumanne, Novemba 3, katika uchaguzi muhimu wa katikati ya muhula ambao unatumika kama kura ya maon . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

Abdul El Sayed anakuwa seneta wa kwanza Mwislamu nchini Marekani

Abdul El-Sayed ameshinda uchaguzi wa katikati ya muhula katika kiti cha seneti katika jimbo la Michigan mnamo Novemba 3–4, 2026, akimshind . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

Mbeto"CCM Kitaendelea Kubeba Matumaini ya Watanzania bila Kuyumbishwa"

Chama Cha Mapinduzi kimewahakikishia Wananchi kuwa kitabaki na umadhubuti wake wa kubeba matumaini ya Wananchi wote bila kujali imani zao za . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta, Petroli Dar Yapanda

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazoanza kutumika . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • 6 siku zilizopita

Raia wa Afrika Kusini wanashiriki uchaguzi wa mitaa

Raia wa Afrika Kusini, hivi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, uchaguzi ambao unatarajiwa ama kukiimarisha chama tawa . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • 7 siku zilizopita

Necta Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026, Asilimia 85.22

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2026, huku watahiniwa 970,876 wakif . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • 7 siku zilizopita

Mshambuliaji wa Tenerife Jesus de Miguel Afariki Baada Ya Kugongana na Kipa Uwanjani

Mshambuliaji wa klabu ya CD Tenerife ya Hispania, Jesus de Miguel Alameda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kupata majerah . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • 7 siku zilizopita

Gavana akana dai hofu ya uchawi ilimfukuza ofisini

GAVANA wa Tana River, Bw Dhadho Godhana, ameeleza sababu zinazomfanya kutotumia mara kwa mara ofisi yake rasmi mjini Hola, na badala yake ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 7 siku zilizopita

Mkutano wa Jumuiya ya Madola wafunguliwa Antigua na Barbuda

Viongozi wa Commonwealth wamekusanyika Antigua kujadili biashara, migogoro na mabadiliko ya tabianchi. Fidia kutokana na biashara ya utumwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • 7 siku zilizopita

Uchaguzi wa mitaa kufanyika Jumatano wiki hii

Wakati huu raia wa Afrika Kusini wakijiandaa kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa Jumatano ya wiki hii, masuala ya huduma za msi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • 7 siku zilizopita

Urusi yathibitisha kuwa itashiriki katika mazungumzo na Ukraine na Washington Abu Dhabi

Urusi imethibitisha Jumanne, Novemba 3, 2026, kwamba itashiriki katika mazungumzo na Ukraine yaliyotangazwa na Marekani, ambayo yatafanyika . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 2, 2026

DIWANI NABERERA ALIA NA TEMBO

DIWANI wa Kata ya Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Marco Munga ameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya tembo waliovamia baadhi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 2, 2026

Nandy Atangaza Album Mpya ya 911

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Nandy maarufu kama African Princess, ametangaza rasmi ujio wa album yake mpya inayokwenda kwa jina la 911, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 2, 2026

Balozi wa Marekani Afunguka Hatma ya Netanyahu Kuunda Serikali

Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, amesema matokeo ya uchaguzi nchini Israel yaliyoonesha Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupat . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 2, 2026

Ajali ya Ndege Yauwa Watu Tisa Baada Kuanguka na Kuteketea Kwa Moto

Watu tisa wamefariki dunia baada ya ndege binafsi waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Palm Beach, jimbo la Florida nchini Marekan . . .

Kurasa 1 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category