logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 12, 2022

Marekani Yaadhimisha Miaka 21 Tangu Shambulio Kubwa la Kigaidi ‘Septemba 11’

Rais wa Marekani Joe Biden na Makamu wa Rais Kamala Harris wamewaongoza Wamerekani kuadhimisha miaka 21 tangu kutokea kwa shambuliao la kiga . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 12, 2022

Azimio Walaumu Uhuru Kenyatta Kwa ‘Kumuangusha Raila Odinga

Wanasiasa wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, sasa wameanza kumrushia cheche za lawama Rais Uhuru Kenyatta huku wakidai alisababisha m . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Mwanachuo Ajikata Tumbo Baada ya Kumuua Mwanafunzi Mwenzake

Mwanafunzi wa Chuo cha St John, Winfrida Michael (24) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julius Gervas (26) ambaye pia ni . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Mwili wa Malkia Elizabeth II Kuagwa kwa Siku Nne Katika Ukumbi wa Westminister

Mwili wa Malkia Elizabeth II  utasafirishwa kutoka Kasri la Buckingham kwa msafara utakaokuwa ukiendeshwa polepole wakiambatana na gwar . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

AUAWA KWA KUVUTA UGORO KARIBU NA HEKALU.

Polisi nchini India wamesema leo Ijumaa kuwa wamewakamata watu watatu wa dhehebu la Sikh wakituhumiwa kumuua kijana mmoja aliyekuwa akitafun . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Rais wa Burundi ateua baraza jipya la mawaziri baada ya kumfuta kazi waziri mkuu

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi ameteua baraza jipya la mawaziri baada ya kumfuta kazi waziri wake mkuu Alain Guillaume Bunyo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Wizi wa mafuta Nigeria wasababisha mgomo wa wafanyakazi

Wafanyakazi katika sekta ya petrol nchini Nigeria, wameitisha maandamano ya kitaifa kupinga wizi wa mafuta, hali ambayo imeathiri kwa kiasi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Maisha ya Malkia Elizabeth katika uongozi

 Licha ya kufariki akiwa na umri wa miaka 96, Malkia Elizabeth II wa Uingereza ndiye mkuu wa nchi anayeshikilia rekodi ya dunia kuhudum . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Hatimaye Paula Kajala Amkubali Harmonize Kama Baba

Hatimae mtoto wa mpenzi wa mwanamuziki harmonize Kajala Masanja #PaulaKajala kwa mara ya kwanza amemtambua @harmonize_tz kama baba yake hadh . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

WAZIRI MKUU AWACHARUKIA WATUMISHI WA TAKUKURU MKOANI TABORA

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa Chaulo kuwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 9, 2022

Rais Samia atoa pole kifo cha Malkia Elizaberth II

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchini Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi Septem . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Kocha Graham Potter Kutua Chelsea.

Graham Potter ndiye anayepewa asilimia kubwa ya kuwa kocha mpya wa Chelsea, kujaza nafasi ya Thomas Tuchel aliyetimuliwa jana Jumatano baada . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Sista Matatani kwa Wizi wa Watoto

Kamanda wa Polisi wa Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Friday Eboka amesema wamemkamata mshukiwa wa Reverend Sister, anayejulikana kama Mauree . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Mshukiwa wa pili wa mashambulizi ya visu Canada afariki dunia

Mshukiwa wa pili aliyekuwa anasakwa na polisi ya Canada kufuatia mashambulizi ya kutumia visu mwishoni mwa wiki iliyopita ambayo yaliwauwa w . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

AJIUA BAADA YA KUNYIMWA TENDO LA NDOA.

Polisi katika kijiji cha Ebungaya, kaunti ya Kakamega wanachunguza kisa ambapo mwanamume mwenye umri wa miaka 50, anadaiwa kukatiza maisha y . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Mwanajeshi Ajinyonga na Mkanda wa Jeshi, Aacha Ujumbe kwa Mama na Mke Wake

Dodoma. Askari wa Jeshi la Anga, William Giriango (40) amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali aliokuwa ameutundika katika nondo ya dirish . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na k . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Watu 6 Wapoteza Maisha kwa Kukatwa Vichwa na Waasi Nchini Msumbiji

RAIS wa Msumbiji Fillipe Nyusi amesema wanamgambo wa kiislamu walioasi katika jimbo la Napula wamewakata vichwa watu sita (6) huku wakiwatek . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Miaka 30 jela kwa kumpa mimba mwanae ili asiolewe na kabila lingine

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto, imemhukumu kifungo cha miaka 30, Yerenia Chidaka, mkazi wa Kijiji cha Dongo wilayani humo, baada ya kumtia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

Wakazi karibu na kiwanda cha nyuklia cha Ukraine washauriwa kukimbilia usalama

Ukraine  imeomba wakazi waliyoko kwenye maeneo yanayokaliwa na Russia karibu na kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia, kuondoka mara moj . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 8, 2022

RAIS WA BURUNDI AMTIMUA WAZIRI MKUU

RAIS Evariste Ndayishimiye ametimua waziri mkuu wa Burundi na akidai kuwa kuna njama ya kupindua serikali yake.Rais Ndayishimiye alimtimua A . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • September 8, 2022

BAD BOY TIMZ KUJA KIVINGINE HIVI KARIBUNI

Alifanya vizuri na kazi kadhaa ikiwemo check and balance,mj,complete me ,move pamoja  have fun lakini hivi karibuni ameachia wimbo . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

Rais wa Marekani Joe Biden Ampongeza William Ruto kwa Ushindi.

Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza William Ruto kwa kuibuka mshindi wa uchaguzi wa urais.Katibu katika White House Karine Jean-Pierre al . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

Serikali kuboresha chujio la maji Geita

Serikali kupitia Wizara ya Maji imetoa Shilingi bilioni moja kwa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Geita (GEUWASA) kufanikish . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

Marekani yasema iko tayari kuisadia Sri Lanka kuhusu madeni yake

Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amefahamisha kupitia barua iliyoonekana na shirika la habari la Reuters,kwamba nchi yake itasadia k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

C?helsea yamfuta kazi kocha wake Thomas Tuchel

Chelsea imemtimua Thomas Tuchel kufuatia kichapo cha jumanne usiku katika ligi ya mabingwa dhidi ya Dinamozagred . kocha huyo wa Borussia Do . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

Gavana wa Kenya afukuza maafisa wakuu kwa kuchelewa mkutanoni.

Gavana mteule wa Kenya amejizolea sifa kwa sheria kali za afisini baada ya kuwafukuza maafisa wakuu kwa kufika kwenye mkutano dakika chache . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

HIKI NDIO CHANZO CHA KOCHA WA SIMBA KUONDOLEWA.

Uongozi wa Simba jana mchana ulitangaza kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Zoran Manoljović  baada ya kudumu kwa miezi miwili huku . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

UN yasema wanawake 131 walibakwa Sudan Kusini ndani ya kipindi cha miezi tatu

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Sudan Kusini ,UNMISS pamoja na ofisi ya Umoja wa mataifa ya haki za binadamu wamesema kwamba takriban wanawake 13 . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

SABAYA ABAKI GEREZANI , WENZAKE WAACHIWA.

Watuhumiwa wanne katika kesi namba mbili ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekua mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya,wamea . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

RAIS SAMIA AMPONGEZA LIZ TRUSS

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kiongozi wa Conservative, Liz Truss.Liz Truss au kama lil . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Mwili wa Mchungaji Siva Moodley wa Afrika Kusini, bado umelazwa mochwari kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

Mwili wa Mchungaji wa Afrika Kusini, Siva Moodley bado umelazwa katika chumba cha kuhifadhia maiti (Mochwari) mjini Johannesburg kwa zaidi y . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Wabunge Na Maseneta Kufanya Kikao Cha Kwanza Septemba 8.

Vikao vya kwanza vya Bunge la Kitaifa na Seneti vitafanyika mnamo Alhamisi,  Septemba 8, 2022 ambapo wajumbe katika mabunge hayo wataap . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Johnson" Nitamuunga mkono mrithi wangu Liz Truss"

Waziri Mkuu anaeondoka nchini Uingereza Boris Johnson ameapa kumuunga mkono mrithi wake Liz Truss katika kila hatua atakayoipiga kwenye kazi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Mahakama ya Angola yatupilia kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi.

Mahakama ya katiba nchini Angola imetupilia mbali madai ya chama cha upinzani UNITA kuyafuta matokeo ya uchaguzi yaliyokipa ushindi chama ta . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Azam FC Wamtangaza Kocha Mpya Denis Lavagne .

AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani.&nb . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Urusi Kununua Makombora na Mizinga Kutoka Korea Kaskazini.

URUSI inanunua mamilioni ya makombora ya mizinga na roketi kutoka Korea Kaskazini, kulingana na ripoti mpya za kijasusi zilizotolewa  n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Rais Museveni Aahidi Kufanya Kazi na Rais Mteule William Ruto.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kufanya kazi na Rais Mteule William Ruto pamoja na Naibu Rais mteule Rigathi Gachagua, baada ya Rais . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

Rais 35 wa Burkina Faso wameuawa Jumatatu; serikali ya mpito imesema

Takribani raia 35 waliuawa na 37 walijeruhiwa kaskazini mwa Burkina Faso siku ya Jumatatu wakati gari lililokuwa kwenye msafara lilipokanyag . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 6, 2022

MV MWANZA KUANZA HUDUMA OKTOBA.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli (MCSL), Erick Hamisi amesema ujenzi wa meli ya MV Mwanza umefika asilimia 71 na inatarajiwa kua . . .

Kurasa 199 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category