Naibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Ulega amezungumza hii leo bungeni kuhusiana na kauli iliyotolewa na makamu wa rais Dkt . . .
Rais wa Angola Joao Lourenco, Alhamisi aliahidi nafasi za kazi kwa vijana wa nchi hiyo, ambao haki zao zimekandamizwa, huku wengi wao wakiwa . . .
Muungano wa Watengenezaji Bidhaa (KAM) umewataka Wakenya kujiandaa kwa hali ngumu zaidi ya maisha.Kulingana na KAM, bei ya bidhaa nyingi muh . . .
Rappa na mfanyabiashara Kanye West 'YE' anaripotiwa kuwa amefikia maamuzi ya kuvunja mkataba wake na Kampuni Ya GAP iliyokuwa ikihusika na u . . .
Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwa kuungua na moto vibaya, baada ya lori la mafuta kulipuka katika kijiji kimoja&nb . . .
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva princedullysykes ameamua kuvunja ukimya kufuatia baadhi ya wasanii wenzake wa zamani kumuona yeye kama mjin . . .
Zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa ndani ya siku mbili wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kuvamia nyumba za watu na kupora ma . . .
Waziri Mkuu wa Sweden wa chama cha Social Democratic Magdalena Andersson amewasilisha leo barua ya kujiuzulu. Hii ni baada ya muungano wa vy . . .
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza kufuta ada ya mtihani kwa watahiniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na sita wa shule za S . . .
Shirika la ndege la Kenya Airways limethibitisha kuwa abiria aliyepata matatizo ya kupumua alipokuwa akipanda moja ya ndege zake amefariki.K . . .
Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto w . . .
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Jijini Mwanza Stanslaus Mabula haya ndiyo aliyoyawasilisha jana Tarehe 14 September 2022 mbele ya Makamu wa Ra . . .
Wakati visa vya maambukizi ya Monkeypox vikiendelea kushuka kwenye mataifa ya Ulaya pamoja na Marekani, wataalam wa sayansi wanasema kwamba . . .
Rais wa Angola Joao Lourenço anaapishwa leo Alhamisi Septemba 15 mjini Luanda kwa muhula wa pili, baada ya ushindi mdogo wa chama chake kat . . .
Tuzo za AFRIMA Siku ya Jana Wametoa List ya wasanii Waafrika Waliochaguliwa Kuwania Tuzo hizo Barani Afrika , Katika Wasanii Kutoka Tanzania . . .
Matumaini ya Wakenya kuwa gharama ya maisha ingeanza kushuka mara baada ya Rais William Ruto kuchukua madaraka yameanza kudidimia miongoni m . . .
Msanii wa bongo fleva , omary nyembo alimaarufu ommy dimpozi amesema baba yake mzazi alimtelekeza akiwa mdogo na hakuwahi kumuonesha mapenzi . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa mshikamano na ushirikiano ili kushughulikia ulimwengu ulio hatarini wakati w . . .
Kulikua na hali ya utulivu mkubwa katika sehemu mbalimbali nchini wakati wa kuapishwa kwa Rais William Ruto katika uwanja wa Kasarani.Hata h . . .
Rais wa Kenya William Ruto, saa chache tu baada ya kuapishwa kama kiongozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki, aliwateua majaji sita wa mahak . . .
Mfalme Charles III amefanya ziara yake ya kwanza Ireland ya Kaskazini tangu alipovikwa taji la ufalme. Mfalme Charles anazuru mataifa yote m . . .
Mamia ya waombolezaji jana Jumanne walipanga foleni nje ya ikulu ya Buckingham na katika mitaa ya mji wa London, nchini Uingereza, wakati ms . . .
Mchezaji wa Manchester City, Benjamin Mendy hakupatikana na hatia katika kesi ya kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 19.Uamuzi huo ulitole . . .
Beki wa Simba, Mkenya Joash Onyango ambaye alikuwa analazimisha kuondoka kikosini, jana alikuwa miongoni mwa mastaa waliosafiri na timu kwen . . .
Wakati kumekuwa na wimbi la mauaji nchini, Serikali imesema sababu za wananchi kujichukulia hatua mkononi ni wivu wa mapenzi, migogoro ya ar . . .
Uganda imetoa dola milioni 65 kama malipo ya kwanza ya dola milioni 325 iliyoamuriwa kulipa na Mahakama ya kimataifa ya haki ICJ, kama fidia . . .
Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hanoor Janza amemrejesha kikosini beki Abdi Banda anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Ku . . .
Serikali imesema suala la haki ya faragha kwa Wafungwa na Wenza wao itaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya Magere . . .
Jumanne ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Sepsis.Sepsis ni ugonjwa unaotishia maisha ambao huathiri mamilioni ya watu kila mwaka. Ugonjwa h . . .
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameanza leo ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan ili kushiriki mkutano wa kimataifa wa kidi . . .
Rapa Khaligraph Jones atoa wimbo wa kufoka akimtaka rais William Ruto kumlinda Raila Odinga kutoka na upambaniji wake wa miaka mingi k . . .
Jen Bricker au Moceanu ni mhamasishaji na mwanasarakasi wa kike kutoka Marekani asiye na miguu yote miwili.Jen ana umri wa miaka . . .
Robert Meier (17) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari St Mary Goreti iliyopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanj . . .
Mwanasiasa wa Kenya William Ruto ameapishwa leo kuwa rais wa tano wa taifa hilo wiki moja baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kutupilia mba . . .
Jumla ya Watu 35 wamenusurika kifo, baada ya nyumba wanaishi kuteketea kwa Moto majira ya usiku wa kuamkia Septemba 12, 2022 Mkoani Morogoro . . .
Vikosi ya Urusi vimejiondoa katika miji muhimu mashariki mwa Ukraine, huku vikosi vya Ukraine vikiendelea kupata mafanikio dhidi mashambulio . . .
Teddy na Peter amabao ni mapacha wako katika uhusiano wa mapenzi na mwanamke mmoja kwa jina Emily ambaye wanadai ni mke waoUhusiano huo wa k . . .
Staa wa muziki nchini Nigeria Wizkid anakuwa Msanii wa kwanza wa Kiafrika kuwa kwenye vichwa cha habari duniani kote baada ya kuhudhur . . .
Mwili wa marehemu Malkia Elizabeth II uliwasili mjini Edinburgh, Scotland Jumapili, ambako umelazwa katika makazi rasmi ya kifalme, ku . . .
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imekata mzizi wa fitina kwa kuuzuia usajili w . . .