Vitendo vya udhalilishaji wa kingono kwa watoto vinazidi kuitikisa nchi na sasa padri mmoja wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi anashikiliwa n . . .
Ripoti ya Dunia ya Furaha imetumia uchanganuzi wa takwimu kubaini nchi zenye furaha zaidi duniani. Katika sasisho lake la 2021, ripoti ilihi . . .
RAIS William Ruto jana Jumapili aliruhusu viongozi wa makanisa kufanya maombi spesheli ya kutakasa ikulu ya Nairobi huku akijiandaa kuanza k . . .
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mkutano Mkuu wa Dharura wa Chama Cha NCCR -Mageuzi kumfuta uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hi . . .
Maelfu ya raia wa Angola waliandamana Jumamosi kupinga kile walichosema kuwa uchaguzi uliokuwa na dosari wa mwezi uliopita ambao ulikirejesh . . .
Ndege ya Shirika la Ndege la West Atlantic ilipitiliza njia jana wakati ikijaribu kutua katika uwanja wa Ndege wa Montpellier nchini Ufarans . . .
Korea Kaskazini leo imefyetua kombora la masafa marefu kuelekea baharini mashariki mwa Pwani yake . Haya ni kwa mujibu wa viongozi wakuu wa . . .
Waziri mkuu wa mpito nchini Mali kanali Abdoulaye Maiga, ameishtumu Ufaransa kwa kulitelekeza taifa hilo. Wakati wa hotuba yake kwenye Baraz . . .
kiongozi wa upinzani na Spika wa zamani Guy Nzoube Ndama wa Bunge la Gabon, amekamatwa katika mji mkuu wa Libreville akiwa na takriban . . .
Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii Zanzibar imelaani kitendo cha Watalii wawili wa jinsia moja (Wanaume) kuvishan . . .
Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msa . . .
Mwanasheria Fulgence Massawe ambaye ni Mwanasheria aa LHRC akitolea ufafanuzi maneno mawili yaliyoyolewa jana Bungeni na Waziri wa Fedha na . . .
Mgunda amesaini mkataba wa mwaka mmoja Simba na klabu hiyo iko kwenye mchakato wa kuajiri makocha watatu kwa mpigo, Makocha hao n . . .
wachezaji 15 wa timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania wamejiuzulu wiki chache baada ya minon'gono ya kuwepo kwa mgawanyiko kwenye kam . . .
Mamlaka za Cameroon zimesema Alhamisi kwamba zimezuilia wanajeshi watatu kutokana na kupiga risasi na kuuwa wanawake wawili wasiokuwa na sil . . .
Mwanamuziki wa Hip Hop Nchini Wakazi ametangaza kunusurika Kifo kwenye ajali mbaya ya gari. rapper huyo kwa sasa yupo zake nchini Marekani, . . .
Iran imezuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Instagram na WhatsApp huku kukiwa na maandamano ya kupinga kifo cha mwanamke aliyekuwa ch . . .
Raia wa Somalia wenye uhusiano na Kenya ni miongoni mwa washukiwa 47 walioshtakiwa nchini Marekani kwa utapeli.Raia hao wanaoishi Marekani, . . .
rubani wa ndege iliyokuwa imembeba mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala aliwaambia rafiki zake kuwa ndege ile ilikuwa na matatizo kabla haij . . .
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema magonjwa yasiyoambukiza kama saratani, kisukari na matatizo ya moyo yamechangia asilimia 74 ya vifo . . .
Msumbiji na Tanzania Septemba 21, 2022 zimesaini mikataba miwili ya ushirikiano mjini Maputo inayolenga kupambana na ugaidi na uhalifu.Msumb . . .
Kazakhstan imetangaza leo kuwa itafanya uchaguzi wa mapema wa rais mnamo Novemba 20 unaolenga kuufanyia ilichokiita "mageuzi makubwa" mfumo . . .
Rapa Cardi B kutoka Marekani, ameweka wazi kuwa ni muda wa harusi yake sasa na mumewe rapa Kiari Kendrell Cephus maarufu kama Offset, baada . . .
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti . . .
MKUU wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanya kazi Dawati la . . .
Mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Paul Rupia anatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii ya Septemba 23, 2022 katika makaburi ya Kinond . . .
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Tarime/Rorya, linamtafuta Werema Ibaso mkazi wa kijiji cha Isango wilayani Rorya mkoani Mara kwa tuhuma za k . . .
Polisi huko Murang'a nchini Kenya wanamsaka mwanaume wa miaka 30 anayeshukiwa kumuua kakake mkubwa kufuatia mzozo wa nyama ya utumbo ya KSh . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni (WHO), limesema takwimu zinaonesha kuwa, takriban Mwanamke mmoja kati ya watano atapata tati . . .
Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika ambao wana idadi kubwa ya wasikilizaji wa mwezi kwenye mtandao wa Spotify (Africa . . .
Ethiopia imeikataa ripoti ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanaoituhumu kwa uwezekano wa kuendelea kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya ubinada . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amepangwa kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York Jumatano wakati akitarajia kuangazia juhu . . .
KATIKA tathimini ya kutisha, mkuu wa Umoja wa Mataifa amewaonya viongozi wa dunia kwamba mataifa yamekwama katika hali mbaya ya utendaji kaz . . .
Chelsea imemfuta kazi Mkurugenzi wa Biashara, Damian Willoughby mwezi mmoja baada ya kuajiriwa kutumikia nafasi hiyo. Willoughby alibainika . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Maputo nchini Msumbiji kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini humo.Taarifa il . . .
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa amesema Jeshi la Polisi wilayani humo linawashirikia watu 45 katika operesheni maalumu ya kukabi . . .
Rais wa Marekani Joe Biden aliwasili nchini Uingereza jana jioni kabla ya mazishi ya Malkia Elizabeth 11 siku ya Jumatatu.Haya ni kwa mujibu . . .
Mahujaji milioni 21, waislamu wa madhahebu ya kishia, wakiwa wamevaa nguo nyeusi wamekusanyika katika mji wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha . . .
Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 84.Taarifa ya . . .
Rais Joe Biden wa Marekani na wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wanatarajiwa kukutana leo hii katika Ikulu ya White House kwa mazungumzo yata . . .