Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Innocent Bashungwa, aliyekuwa Waziri wa TAMISEMI kuwa Waziri wa Ulinzi . . .
Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Brazil wamesema kuwa duru ya pili ya uchaguzi itafanyika Oktoba 30, baada ya wagombea wawili wakuu kushin . . .
Viongozi wa upinzani wa jimbo la Somaliland ambalo lilijitangazia uhuru wake kutoka kwa Somalia wamekataa uamuzi usio halali wa kuongezwa mu . . .
Kiongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso, Paul-Henri Sandaogo Damiba amekubali kujiuzulu jana, siku mbili baada ya maafisa wa kijeshi kutanga . . .
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Manyara, Kiria Ormemei Kurian Laizer amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Simanjiro.Msi . . .
Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malala . . .
Waandamanaji wenye hasira wameshambulia ubalozi wa Ufaransa katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou jioni ya Jumamosi. Hii ni baada wa . . .
Hatimaye mwili wa marehemu Hellen Wendy Nyabuto (24),binti wa Kikenya aliyefariki kwa kuzama kwenye bwawa la kuogelea nchini Canada umewasil . . .
Mtangazaji wa TV Wa NBC ana trend baada ya kutumia Condom kufunika Mic yake akiwa na ripoti kuhusu Kimbunga Ian jimboni Florida. Kyla Galer . . .
Rais William Ruto ametoa wito kwa bunge kubuni mikakati ya kuwahoji Mawaziri Bungeni, ili kufafanua sera za serikali na kujibu maswali kuhus . . .
Tume ya Kitaifa ya Huduma kwa Polisi Kenya (NPSC) imemteua Massa Hamisi Salim kuwa kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara Upelelezi wa Jinai (DCI) h . . .
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema matatizo mengi yanayiowakumba vijana nchini kwa sasa kiafya yanatokana na lishe duni huku matat . . .
Bibi mwenye umri wa miaka 87 anayefahamika kwa jina la Elina Nzilano mkazi wa mtaa wa Idofi halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe am . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema anafanya kila lililo chini ya uwezo wake ili kufanikisha vikwazo vya Umoja wa . . .
Chanzo cha kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, ambaye alitawala kwa muda mrefu zaidi ya malkia au mfalme mwingine yeyeote wa nchi hiy . . .
Kimbunga Ian kiliwasili magharibi mwa Florida Jumatano kama kimbunga cha 4 chenye upepo wa zaidi ya kilomita 240 kwa saa, na kusababisha maf . . .
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amesema hakuna haja ya kuweka vikwazo ikiwemo marufuku ya kutoka nje katika maeneo yenye mli . . .
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema kwamba asilimia 30 ya Watanzania wana tatizo la shinikizo la juu la damu na asilimia 33 wa . . .
Majeshi ya Msumbuji yamesema kwamba yamewakamata watu wanne ambao wanatokea vikosi vya kijihad nchini humo ambao wamekua wakiwakamata na kuw . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-Diaspora wote wawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania kokote waliko na wawe tayari kuainisha . . .
Msanii wa Bongo Fleva Queen Darleen aliye chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ya Diamond Platnumz ambaye ameibuka kusema kwamba acha . . .
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia mkazi wa Manispaa, Mohamed Njali, kwa tuhuma za kumdhalilisha kijinsia mama mjamzito, Atka Kiven . . .
Urusi inapanga kuitisha mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili uharibifu uliofanywa katika mabomba hayo mawili. Msemaji w . . .
Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, John Mikel Obi, ameangika daluga zake kwenye ulingo wa soka akiwa na umri wa miaka 35.Akitanga . . .
Grace Wangoi, 32, kutoka Kapkoi mkabala na Moi's Bridge mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia, alikuwa msaidizi wa mzee mmoja raia wa Canada k . . .
Rapa wa Marekani Coolio amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59. Coolio ambaye alipata umaarufu kwenye miaka ya 90 akiwa na Hits zake kama . . .
Msanii wa Bongofleva, Official Lyyn ameongea kuhusu mahusiano na Diamond Platnumz kwenye kipindi cha Lavi Davi cha Wasafi FM na Diva,Officia . . .
Wakati Serikali ikiwasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa Wote bungeni, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hakuna mtu atakaye kamatwa . . .
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau alitangaza Jumatatu kwamba serikali yake itawawekea vikwazo "dazeni" ya watu na mashirika ya Iran, ikiw . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amefungua rasmi dirisha la ufadhili wa masomo ya elimu ya juu (Samia Scholarshi . . .
Polisi nchini Kenya wanachunguza kifo cha mwanasheria aliyetuhumiwa kuwahonga na kuwatishia mashahidi katika kesi iliyotupiliwa mbali na Mah . . .
KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka Septemba 26, 2022, jijini Dodoma akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mah . . .
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Kaunti Ndogo ya Marakwet Magharibi ameingia mitini baada ya kuchoma nyumba ya familia kutokana na kutof . . .
Mahakama ya Upeo inatazamiwa leo Jumatatu, Septemba 26, kutoa sababu kamili za kutupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais . . .
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa saratani umeua watu 25,000 mwaka 2020 na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 . . .
Idadi ya watu waliofari dunia kutokana na ugonjwa wa ebola nchini Ugenda imefikia watu 21 huku zaidi ya 30 wakiwa wameambukuzwa.Ripoti iliyo . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutum . . .
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Mara, kuhakikisha wanawasaka watuhumiwa waliohusika . . .
Kamati za Bunge za Miundombinu na Hesabu za Serikali (PAC) wameanza safari ya kutoka Dodoma kwenda Morogoro kwa njia ya treni wakipita reli . . .
Muungano wa vyama vinavyoegemea mrengo wa kulia unaoongozwa na chama cha Giorgia Meloni cha Brothers of Italy nchini Italia, unatarajiwa kus . . .