Rais Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Kenya, William Ruto na kumkaribisha Ikulu Dar es Salaam ambapo watazungumzia masuala kadhaa ya us . . .
Moto mkubwa uliosababishwa na bomu la kwenye gari umelivunja daraja kuu linalounganisha Crimea hadi Russia, eneo ambalo Russia ililichukua m . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amejitetea kwa hatua yake ya kumpandisha cheo mwanawe Jenerali Muhoozi Kainerugaba licha ya kumtimua kama kam . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuzindua kampeni ya kuzuia kujiua barani Afrika, kufuatia kuwepo kwa ripoti nyingi za mauaji ya ai . . .
Mwimbaji wa muziki toka Kenya, Brown Mauzo yeye kwake umbo la kuvunja chaga sio inshu, ameeleza kwamba atampenda zaidi mke wake Vera Sidika . . .
Wananchi wa Kijiji cha Ruvuma Chini, mkoani Ruvuma, wameishukuru serikali kwa kuwapelekea mradi wa maji ambao unagharimu bilioni 1.3 kwani u . . .
Maafisa nchini Nigeria waligundua njia haramu ya kuunganisha mafuta kutoka kwenye mojawapo ya njia yake kuu ya kusafirisha mafuta . . .
Qatar imeamuru wafanyakazi wengi wa serikali kufanyia kazi majumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia mwezi ujao. Shule zitapunguziwa . . .
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Somoe Mohamed mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa kata ya Dihimba, halmashauri ya wil . . .
Mwanamume ambaye alijichimbia kaburi akiwa hai amefunguka kuwa alichukuwa hatua hiyo ili kuwapa watu funzo.mbali na kujichimbia kaburi . . .
Rais William Ruto anatarajiwa kujumuika katika sherehe za Uhuru nchini Uganda siku ya Jumapili, Oktoba 9, hii ikionekana kama juhudi za kutu . . .
Wilson Gbli Nartey, alikua mwanamume tajiri nchini Ghana kutoka Ningo eneo la Accra, hatimaye amezikwa miaka mitatu baada kukata roho . . .
Serikali ya Morocco imetoa vibali 10 kwa wakulima kulima bangi kihalali kwa ajili ya viwanda na kuuza nje kwa mara ya kwanza.Wakulima katika . . .
Korea Kusini na Japan zimesema leo kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora mengine mawili, siku mbili tu baada ya jaribio lake la mwisho. S . . .
Benki ya Dunia imesema sio rahisi ulimwengu kulifikia lengo lake la kuondoa umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2030. Hayo yameelezwa katika . . .
Helena Mashaka (13), mwanafunzi wa darasa la saba shule ya Shahende iliyopo Kata ya Butobela, mkoani Geita, amechomwa mikono yake kwa moto n . . .
Mawaziri wa utalii kutoka zaidi ya nchi 50 wanachama wa shirika la utalii Duniani na maafisa wa Kamisheni ya Afrika Jumatano wali . . .
Jumuiya ya Nchi zinazouza petroli duniani, pamoja na Russia na wazalishaji wengine wa mafuta, Jumatano zilipunguza uzalishaji mafuta k . . .
Florence Samwel ambaye ni mtumishi wa Wizara ya Kilimo amezishtaki Hospitali za TMJ na Hindu Mandal pamoja na Dkt. Maurice Mavura katika mah . . .
Wenyeji wa kijiji cha Chamasilihi Kaunti ya Vihiga walibaki vinywa wazi baada ya majambazi kuvamia nyumba ya ajuza na kuchinja kuku wake, ki . . .
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania mkoani Geita Hashim Ngoda amesema wamevuka lengo la makusanyo kwa asilimia 132 katika kipindi cha . . .
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi . . .
Mtengeneza wa Maudhui maarufu nchini Tanzania, ambae amejizolea umaarufu mkubwa Kwenye Mtandao wa Tiktok Pamoja na Instagram Maudhui ambayo . . .
Mvulana miaka 12 kutoka Nigeria ameuawa na kaka yake alipokuwa akijaribu hirizi mpya ya “kuzuia risasi”, polisi wanasema.Wawili hao wali . . .
Rais Yoweri Museveni amemuondoa mwanawe, Muhoozi Kainerugaba, kama kamanda wa majeshi ya nchi kavu ya Uganda, jeshi lilisema Jumanne, baada . . .
Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitali . . .
Korea Kusini na Marekani zimefyatua makombora manne ya ardhini kuelekea katika Bahari ya Mashariki, inayojulikana zaidi kama Bahari ya Japan . . .
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hiv . . .
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imemkuta na kesi ya kujibu Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake nane na kuwata . . .
Serikali ya Somalia imetangaa kuua kwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab, Abdullahi Nadir kwenye shambulizi la ndege li . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amelishtaki shirika la utangazaji la Marekani CNN kwa kumkashifu, akitaka kulipwa fidia ya dola mili . . .
Mwanawe Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba sasa anasema kuwa amewasamehe Wakenya ambao walimvamia kwenye mtandao wa Twitter. . . .
Utulivu ulirejea katika mji mkuu wa Burkina Faso siku ya Jumatatu baada ya kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo kukimbilia nchi jirani ya Togo k . . .
Mwanadada maarufu Kim Kardashian amefungiwa kwa miaka mitatu kuitangaza na atalipa faini ya dola milioni 1 ili kulipia mashtaka ya serikali . . .
kocha wa Manchester United Eric ten Hag yupo tayari kumruhusu mshambuliaji wake Cristiano Ronaldo kuondoka klabuni hapo kwenye dirisha dogo . . .
Kiongozi mpya wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amesema uchaguzi wa nchi hiyo unatarajiwa kufanyika mwaka 2024 au mapema za . . .
Mwanaume Ambaye Mke Wake Alifariki Wiki Zilizopita akiwa anamfuatilia “Mchepuko“ naye AmefarikiSonnie Bassey amekuwa katika hali ya kuko . . .
Timu ya Taifa ya Watu wenye ulemavu Tembo Warriors, imepata ushindi wa kwanza katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea nchini . . .
Kocha wa timu ya Bunge (Bunge SC), Ahmed Juma Ngwali amekiangalia kikosi cha sasa cha Yanga kisha akatamka kibabe kwamba kama wataamua kukaz . . .
Supastaa Davido ameweka wazi kwamba jana Jumapili alifanikiwa kuingia Kanisani na kutekeleza Ibada ikiwa ni miaka mitatu kutokufanya hivyo.D . . .