logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 21, 2023

Wananchi Bukoba waondokana na adha ya maji

Baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu kati ya vitano vilivyoko katika kata Karabagaine katika wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, wameondokana na ad . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 21, 2023

SERIKALI YASHAURIWA UMUHIMU WA KUANZISHA BARABARA ZA KULIPIA TOZO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaishauri Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS)  kuanza na mfumo wa barabara . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 21, 2023

Dkt. Mpango akemea mamlaka za maji kuzoea matatizo ya Wananchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewataka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutum . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 21, 2023

Watanzania wapigwa ''Stop' kwa Afrika Kusini

Watanzania waishio Afrika ya Kusini wameonywa kutoshiriki kwa namna moja ama nyingine i na maandamano yanayoendelea katika nchi hiyo na bada . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 20, 2023

Ufaransa yakabiliwa na kura mbili za kutokuwa na imani nayo

Serikali ya Ufaransa inakabiliwa na kura mbili za kutokuwa na imani nayo baada ya wiki iliyopita Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Elisabeth Borne k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 20, 2023

Taifa Stars yawasili salama Misri

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imewasili nchini Misri salama huku Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, akisema kuwa Tanza . . .

Masumbwi
  • Na Asha Business
  • March 20, 2023

BFT kuongeza idadi ya makocha

Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limetangaza kuendesha mafunzo kwa makocha yakiwa na lengo la kuongeza idadi ya walimu wa mchez . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 20, 2023

Mwanamke ajinyonga kisa ukame

Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Sophia Ishuka (56) amejinyonga kwa mtandio akiwa nyumbani kwake kwa madai kuw . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 19, 2023

FIFA na CAF Wampe Tuzo Mama Samia Kwa Kuhamasisha Michezo na Kuongeza Morali

Nimesikia na kuona Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likitoa tuzo maalum kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Mfalme Mohammed VI wa Mo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 19, 2023

Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza ziarani nchini Rwanda

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza Suella Braverman yupo ziarani mjini Kigali tangu jana Jumamosi ili kutetea mpango tata wa kuwahamisha . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • March 17, 2023

MSANII HOMA HOMA TOKA NCHINI CONGO AVUTIWA NA RAYVANNY

Msanii wa muziki na mzaliwa kutoka nchini Congo ambaye makazi yake ni nchini ubeligiji ,homa homa ambaye amekuwa akifanya muziki kwa miaka k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Mambo yamekubali Ulaya, Robo Fainali UEFA

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Real Madrid watakutana na Chelsea ya England katika mchezo wa Robo Fainali, baada ya kuf . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Rais Samia amwondoa Kusaya Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Makatibu Tawala wa Mikoa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

China yaipatia Utalii dola milioni

Serikali ya China na Tanzania zimetiliana saini mkataba wa Dola za kimarekani milioni moja kusaidia shughuli mbalimbali za kuendeleza Utalii . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Kioja Jamaa Wawili Wakitoa Nguo na Kupanda Juu ya Mti Karibu na Kituo cha Polisi

Wanaume wawili kutoka nchini Kenya wamepanda mti wakiwa uchi muda wa usiku Alhamis March 16 huku wakihubiri lakini waafisa wa usalama walifa . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Stamina "Wanaume tunaongoza kwa usaliti"

Msanii wa muziki wa Hip hop Stamina Shorwebwenzi ambaye ndoa yake ilidumu kwa miezi 7 amefunguka ya moyoni kueleza jinsi vijana wengi w . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Mwalimu adaiwa kumuua Mwalimu mwenzake darasani Geita

Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chac . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi Uingereza wafikia makubaliano ya kutatua migomo

Wauguzi na wafanyakazi wengine wa matibabu wakiwa na mabango wakati wa mgomo, huku kukiwa na mzozo na serikali kuhusu malipo, huko London, U . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Kocha wa Arsenal Apigwa Kalamu Baada ya Kucheza Mechi 12 Bila Ushindi.

Klabu ya Crystal Palace imempiga kalamu kocha mkuu Patrick Vieira baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa mechi 12 zilizopita bila kusajili ushind . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Dkt. John Pombe Magufuli

Leo ni kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.Dkt. Magufuli alifariki duni . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Wakimbizi 3000 wa Kongo waomba hifadhi Tanzania

Mkurugenzi wa idara ya wakimbizi nchini, Sudi Mwakibasi amesema wakimbizi wameanza kuingia nchini tangu machi 5 mwaka huu (2023), na kwamba . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Baba Ampachika Mimba Binti yake na kumuoa, aishi nyumba moja na mama yake

Baba ampachika mimba binti yake na kumuoa, aishi nyumba moja na mama yakeFamilia ya Chihinzi Misagwe Ezekiel (baba), Tumaini Chihonzi (binti . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Russia ilisema Jumatano imeanza mazoezi ya kijeshi ya baharini na China na Iran katika Bahari ya Arabia wakati ikijaribu kuimarisha uhusiano wake na Beijing na Tehran. Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema katika taarifa yake kwamba mazoezi hayo ya pande tatu yaliyopewa jina la Marine Security Belt 2023 yameanza katika eneo la bandari ya Chabahar ya Iran. Sehemu ya majini ya mazoezi hayo itafanyika Alhamisi na Ijumaa. Russia itawakilishwa na meli ya kijeshi ya the Admiral Gorshkov frigate na meli ya ukubwa wa kati wizara hiyo ilisema. Wakati wa mazoezi hayo ya wanamaji meli zitafanya mbinu za pamoja na zitarusha mizinga mchana na usiku ilisema taarifa hiyo.

Russia ilisema imeanza mazoezi ya kijeshi ya baharini  na China na Iran katika Bahari ya Arabia wakati ikijaribu kuimarisha uhusia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Uturuki yapanga kuidhinisha ombi la Finland kujiunga na NATO

Maafisa wawili wa Uturuki wamesema kuna uwezekano mkubwa Bunge la nchi hiyo likaidhinisha mwezi ujao ombi la Finland la kujiunga na Jumuiya . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Wapinzani wafanya maandamano kudai unafuu wa maisha

Wanasiasa wa upinzani nchini Kenya, wamesisitiza kuendelea na maandamano ya kitaifa Yatakayo hitimishwa siku ya Jumatatu ijayo (Machi 20, 20 . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Rais atangaza wiki mbili za maombolezo

Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza wiki mbili za maombolezo ya kitaifa baada ya watu zaidi ya 200 kuuawa na Kimbunga Freddy, ambach . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 16, 2023

Muhoozi kuchukua kiti cha Museven

Mtoto wa kiume wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jeneral Muhoozi Kainerugaba, amweka wazi nia yake ya kugombea urais wa taifa hilo katika u . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 15, 2023

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Atoa Ufafanuzi Toto Afya Kadi

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imesema watoto ambao awali walikuwa wakisajiliwa kupitia utaratibu wa bima ya afya ya ‘Toto Afya Ka . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

BENKI KUU YA TANZANIA YAONGEZA MUDA WA USIMAMIZI WA YETU MICROFINANCE BANK PLC

. . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Mtoto apigwa radi akicheza na wenzake

Swaumu Abdala (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Bugongwa mtaa wa Igombe B kata ya Bugogwa halmashauri ya ma . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Pinda ateuliwa kwenye Baraza la kumshauri Rais

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amemteua Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la kumshauri Rais kuhusu utekelezaji wa m . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Zaidi ya watu 40 wadaiwa kuwawa na Boko Haram, Nigeria

Watu wasio pungua 40 wameuawa kwenye mashambulizi makali dhidi ya jamii mbali mbali katika wilaya ya Zango Kataf, katika majimbo ya Kaduna n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Hawa ndio wasanii wanaohitaji kiasi kikubwa Cha fedha ili kufanya Nao kolabo

Katika orodha iliyotolewa kwa rapa wa Marekani wanaochaji kiasi kikubwa cha fedha ili uwashirikishe, Wakongwe wawili Jay Z pamoja na Kanye W . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Jeshi laingilia kati mgomo wa Madaktari, Polisi washika doria

Jeshi nchini Afrika ya Kusini limeingilia kati mgomo wa Wahudumu wa afya kwa kupeleka Madaktari wake katika hospitali kadhaa za umma, ili ku . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Zaidi ya 100 wafariki Kwa kimbunga Freddy hali ya hatari yatangazwa

Serikali nchini Malawi, imetangaza hali ya hatari na maafa katika eneo la kusini mwa nchi hiyo, na kusema idadi ya watu 99 waliofariki kutok . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Kamati ya amani yampongeza Rais Samia

Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema ameifu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Ten Hag akasirishwa na maamuzi England

Meneja wa Manchester United Erik Ten Hag ameonesha kusikitishwa na kitendo cha kukosa uthabiti katika maamuzi ya waamuzi baada ya kuchoshwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Waziri Mkuu Wa Tanzania kassim Majaliwa Atua Mwanza

 Mhe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokewa na mwenyeji wake Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima mara baada ya kutua uwanja wa ndege jiji . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Mkuu wa Mkoa Mwanza Adam Malima" wananchi Wa Mwanza Mjitokeze Kwenye Maadhimisho "

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi  katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalaama Barabarani yatakayofanyika M . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 13, 2023

Mhasibu Wa Benki Atekwa, Afa Kwa Kuchomwa Moto

HABARIMhasibu Wa Benki Atekwa, Afa Kwa Kuchomwa Moto, Kamanda Aeleza; ”Ni Moto Wa Mafuta Ya Petroli”-VideoLAST UPDATED MAR 13, 2023 . . .

Kurasa 176 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category