watu waliojeruhiwa wakipokea matibabu baada ya shambulizi la bomu.Maafisa wa Taliban nchini Afghanistan, wamesema kwamba shambulizi la bomu . . .
Jumuiya ya Kujihami ya NATO imekemea kauli za Rais wa Urusi Vladimir Putin baada ya kiongozi huyo kusema atapeleka nchini Belarus silaha za . . .
Imeelezwa kuwa mmiliki mwenza wa kutoka Familia ya Glazer, Avram Glazer hataki klabu ya Manchester United ipigwe bei kwa mujibu wa ripoti, l . . .
Majogoo wa Jiji ‘Liverpool’ wameanza mchakato wa kumfukuzia beki anayekipiga SL Benfica ya Ureno, Antonio Silva huku taarifa zikiripoti . . .
Muungano wa Azimio umevumbua mtandao utakaotumika kuhifadhi picha za matukio ya maandamano yanayotarajiwa kufanyika kila Jumatatu na Alhamis . . .
Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vya Kenya na Kimataifa, wameshambuliwa na genge la watu wenye silaha eneo la Kibra nchini humo, wak . . .
Mbunge wa Kauinti ya Kapseret nchini Kenya, Oscar Sudi ameziomba mamlaka za usalama kutomfungulia mashtaka Kijana David Chege (17), ambaye a . . .
Rais mteule wa Nigeria, Asiwaju Bola Tinubu ameelezea hofu yake kuhusu njama za baadhi ya wapinzani wake aliowashinda katika uchaguzi Mkuu k . . .
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia Jumapili imezuia shambulio la ndege isiyo na rubani ya Ukraine katika mji mmoja wa Russia ambapo watu wat . . .
Maelfu ya Waisraeli wameingia barabarani Jumapili kuandamana baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kumfuta kazi waziri wake wa ulinzi amba . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza hali ya dharura nchini humo hususan katika jimbo la Mississippi baada ya kimbunga kulikumba eneo hilo . . .
Maelekezo hayo yametolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo akisisitiza imekuwa ni mazoea kwa Askari wa Usalama Barabarani wan . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kupitisha makadirio ya matumizi na maendeleo kwa mwaka wa fedha . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteremka kutoka kwenye gari lenye maabara inayotumika kupima ugonjwa wa Kifua Kikuu katika maeneo . . .
Mahakama katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, imeizuia kampuni ya Meta, ambayo ni kampuni mama ya facebook, kuwafuta kazi wasimamizi wake wa ma . . .
Mkwasi wa vyombo vya habari Rupert Murdoch, ametangaza kuwa katika uhusiano wa mapenzi na Ann Lesley Smith ambaye ni afisa wa zamani wa poli . . .
Aliyekuwa kiungo wa kati wa Arsenal, Real Madrid na Ujerumani Mesut Ozil ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 34. Akitoa tanggazo . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TikTok amehojiwa na kamati ya bunge la Marekani kujibu kwa nini programu hiyo maarufu ya mitandao is . . .
Mohamed Salumu (44) mkazi wa Kijiji cha Olpopong kata ya Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, amenusurika kifo kwa kuchomwa mkuki kifuani w . . .
Afisa kutoka shirika moja la kiraia kwa jina Charite Banza amefahamisha kwamba wapiganaji wa kundi la waasi la CODECO walishambulia kijiji c . . .
Taarifa hiyo imetangazwa jana Alhamisi na afisa wa jeshi la nchi hiyo, Kanali Mike Walaka Hyeroba, aliyesema wanajeshi hao watap . . .
Bunge la taifa limeshuhudia cheche za maneno baada ya wabunge wa Kenya Kwanza na wale wa Upinzani kuanza kuzozana kuhusu ni nani wa kulaumiw . . .
KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kutua nchini Misri, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maandaliz . . .
Zaidi ya watu 119,000 wamejeruhiwa na gesi ya kutoa machozi pamoja na kemikali nyingine za kudhibiti maandamano kote ulimwenguni tangu 2015. . . .
Ida Olivia Keeling ni mwana riadha kutoka nnchini Marekani mwenye umri wa miaka 100 aliyeweka rekodi ya kukimbia mita 100 ndani ya dak . . .
Wanajiolojia wamethibitisha uwepo wa nyufa kubwa inayolitishia bara la Afrika kugawanywa na maji na kutoka vipande viwili kutokana na ufa we . . .
Takwimu rasmi za serikali zinaonyesha kwamba Idadi ya watu kwenye mji mkuu wa China, Beijing imeshuka kwa mara ya kwanza ndani ya miongo miw . . .
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Stumai Muki amefanikiwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake kutoka Malawi, Chimwemwe Banda katika pambano l . . .
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na wenyeji wake Halmashauri ya Mji Geita, Wilaya ya Geita . . .
Kocha Mkuu wa US Monastir ya Tunisia, Novic Darko, ameshindwa kujizuia na kutamka kuwa kama akipewa nafasi ya kusajili Mshambuliaji msimu uj . . .
Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikal . . .
MAMA yake mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Maseno aliyeuawa Jumatatu wakati wa maandamano ya Upinzani, amesikitika na kusema hakuwahi kuwazia ku . . .
Wanafunzi katika chuo kikuu cha Maseno wamefanya maandamano kufutia kifo cha mmoja wao William Bhangi Mayenga mwanafunzi wa mwaka wa tatu al . . .
Nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kumeanzishwa kongamano kubwa kuhusu amani na maendeleo ya Jimbo la Kivu kusini mjini Bukavu.Kongaman . . .
Bunge nchini Uganda limepitisha sheria kali ya kupinga vitendo vya kufanya mapenzi ya jinsia moja. Muswada huo wa sheria unapendekeza a . . .
Rapa 6ix9ine Amelazwa Hospitali Baada Kuripotiwa Kuvamiwa Na Kupigwa Na Kundi La Watu Akiwa Gym Huko Kusini Mwa Florida. Amejeruhiwa Kwenye . . .
Ofisi ya Rais wa Russia imewataka maofisa wa nchi hiyo kutotumia simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Marekani ya Apple, kwa sababu . . .
Jamii imetakiwa kujiepusha na mambo ambayo ni kinyume na utamaduni wa kitanzania ikiwemo kufanya ngono ya mdomo (Oral Sex) ili kuepuka vinyw . . .
Amesema “Tulisema siku ya leo ni likizo, tulikuwa tunataka kufanya maandamano ya amani ili bei ya unga irudi chini, lakini Ruto analeta As . . .
Kiongozi wa Azimio Raila Odinga sasa amesema maandamano ya kushinikiza kushuka kwa gharama ya maisha itakuwa kila Jumatatu na Alhamsii.Raila . . .