logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Magari yanayotoka mnadani na magulioni kukaguliwa

Kauli hii inakuja ikiwa ni siku chache tangu wafanyabiashara 13 kufariki katika ajali ya lori lililotumbukia mtoni wakati wakitoka mnadani m . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Wanandoa wafariki baada ya kula Samaki wenye sumu aina ya Fugu bila kujua .

Ng Chuan Sing na mkewe, Lim Siew Guan, takriban katika miaka yao ya 80, walinunua samaki aina ya puffer bila kujua kutoka kwa mchuuzi wa mta . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

AMUUA MWENZAKE KISA ANAMDAI MILIONI 1

Uchungzi wa kifo cha June Jerop mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta kinapoendelea siri fiche kuhusiana na mauaji ya mwanadada hu . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Wabunge wa Ruto kukutana na Upinzani

Serikali ya rais wa Kenya William Ruto, Jumanne, imewatangaza wabunge saba wa Kenya Kwanza watakao shiriki katika mazungumzo na upinzani una . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Jeshi la Myanmar laua watu 50 katika shambulizi la anga-Vyombo vya habari

Takriban watu 50 waliuawa Jumanne katikati mwa Myanmar katika shambulizi la anga lililofanywa na jeshi kwenye hafla iliyohudhuriwa na wapinz . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Guterres asema Somalia inateswa na Mabadiliko ya Tabianchi

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, amesema Somalia inateseka kutokana na athari za mgogoro wa hali ya hewa ambao haikuchangia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Mkuu wa Uhamiaji Mexico kushtakiwa

Mkuu wa Taasisi ya Kitaifa ya Uhamiaji ya Mexico Franscisco Garduno, atakabiliwa na mashtaka ya uhalifu kuhusiana na kisa cha moto kilichosa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 12, 2023

Anayekodisha bunduki kwa Tsh 100,000 anaswa

Uchunguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, umefanikisha kumnasa mmoja wa wamiliki halali wa silaha anayetuhumiwa kujipatia fedha kutoka kw . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

LATRA kuwasajili madereva wa School Bus

Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA imeziagiza Shule zinazotoa huduma ya usafirishaji wanafunzi kuwasilisha Orodha ya Mabasi yanayo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

WAZIRI JAFO AWATAKA WACHIMBAJI KUFUATA SHERIA YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaasa wachimbaji wadogo wa dhahabu kutumia teknolo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

Russia na Ukraine zabadilishana zaidi ya wafungwa 200 wa vita

Russia na Ukraine zimebadilishana zaidi ya wanajeshi 200 katika mabadilishano ya hivi karibuni ya wafungwa, maafisa wamesema Jumatatu.Wizara . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

Lampard Arithi Tena Masaibu Aliyoacha Chelsea

FRANK Lampard alianza vibaya awamu yake ya pili ya ukufunzi kambini mwa Chelsea kwa kichapo cha 1-0 kutoka kwa Wolverhampton Wanderers kweny . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

Algeria yajianda kupitisha sheria inayominya zaidi uhuru wa vyombo vya habari

Bunge la Algeria Jumatatu lilikaribia kupitisha sheria inayominya zaidi uhuru wa vyombo vya habari katika nchi hiyo ya Afrika kaskazini kwa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

Kenya Yakiri Wazi Wazi Kukumbwa na Ukata wa Fedha, Wafanya Kazi Kugoma

Serikali ya Kenya imekiri kwamba inakabiliwa na uhaba wa pesa ambao umechelewesha malipo ya mishahara ya maelfu ya wafanyikazi wa umma.Inase . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 11, 2023

Mwenyekiti Auawa Baada ya Kunaswa na Mke wa Mtu

WAKATI waumini wa dini ya kikristo duniani kote wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Pasaka,  wilayani Chato mkoa wa Geita kumetokea mau . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Chadema wataka uchunguzi wa Plea Bargaining

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka serikali kuunda tume ya kijaji kushughulikia sakata la  Plea Bargaining ambalo lime . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Kimenuka..Sheikh Majini Amtaka Diamond Platnumz Kuondoka Katika Dini ya Uislam Kisa Bibilia"

“Kama Uislamu Umekushinda Ondoka nenda kwenye Dini inayokufaa tuachie Waislam Dini yetu, Hii ni Dini ya Mwenyezi Mungu” – Sheikh Share . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Abiy Ahmed aapa kuyavunja majeshi ya mikoa

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameapa kuvivunja vikosi vya kikanda vilivyoanzishwa na baadhi ya majimbo, akionya kwamba hatua za utekele . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Kanisa labariki zaidi ya ndoa 800 za wanaume wenye wake wengi

Kanisa la International Pentecost Holiness limebariki ndoa za wanaume wenye wake wengi zaidi ya 800, ambazo ni za kawaida katika baadhi ya j . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Rais Samia avunja bodi ya TRC na kutengua TGFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi ya Shirikila la Reli (TRC) na kutengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

DPP na Maafisa Wake Wachunguzwe

Mkurugenzi wa Mashitaka na maafisa wake walikiuka taratibu za makubaliano ya kukiri kosa katika kukamata, kuendesha mashitaka, na kushughuli . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 9, 2023

Msanii Grand P Apata Kidosho Mwingine Baada ya Kumtoka Euxodie

Msanii maarufu nchini Guinea Grand P amemtoka kidosho mwenye umbo kali Eudoxie.Grand P na Eudoxie walikuwa wamezua gumzo mitandaoni na penzi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 9, 2023

Makamu wa Rais awataka wazazi kuzingatia Maadili

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kan . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 9, 2023

Sakata la maandamano Kenya: Odinga akubali kiaina matakwa ya Ruto

Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ameonesha nia ya kukubaliana na masharti ya Rais William Ruto juu ya mazungumzo ya Bungeni, kw . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Ansu Fati hatarini kuondoka FC Barcelona

Makamu wa Rais wa FC Barcelona, Rafa Yuste, amesema hana uhakika wa asilimia 100 kama Mshambuliaji kinda wa klabu hiyo Ansu Fati atasalia kl . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Mudathir Yahya amtaja kocha Nabi bao bora Afrika

Kiungo kutoka Visiwani Zanzibar na klabu ya Young Africans Mudathir Yahya Abbas amefichua siri ya bao lake alilofunga dhidi ya TP Mazembe am . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Serikali yafikiria kuharamisha ajira za kigeni sekta ya Afya

Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Constantino Chiwenga amesema wanakusudia kuanzisha sheria itakayoyafanya mataifa ya nje kutowaajiri wafanyakazi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Saba washikiliwa na Polisi kwa mauaji, ufukuaji makaburi

Kufuatia kusambaa kwa taarifa ya kufukuliwa kaburi la mzee mmoja huko Wilayani Manyoni na kudaiwa kuchukuliwa baadhi ya viungo, huku watuhum . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Nyoka akutwa kwenye ndege Afrika ya Kusini

Rubani mmoja nchini Afrika Kusini Rudolf Erasmus ametua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya kobra akiwa amejificha . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Waziri ashitakiwa kwa Ufisadi Uganda

Mahakama nchini Uganda siku ya Alhamisi imemfungulia mashtaka waziri wa serikali Mary Goretti Kitutu pamoja na kaka yake kwa kuilaghai serik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Ripoti ya CAG: Tanzania Yatumia Tsh Bilioni 6.6 Kutunza Vyura wa Kihansi Nchini Marekani

Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 7, 2023

Bomu lililotegwa kwenye keki laua bwana harusi na kaka yake

Mwanaume mmoja aliyefunga ndoa hivi karibuni amefariki pamoja na kakake baada ya mfumo wa ukumbi wa michezo nyumbani waliopokea kama zawadi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Jafo atangaza msako wa mifuko ya Plastiki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Mameneja wa Kanda zote wa NEMC k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Madaktari 3 Wafungwa JELA kwa Makosa ya Kuua, Kutoa Mimba na Kubaka

Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Waziri Ashtakiwa Kwa Kashfa Ya Wizi Wa Mabati Eneo La Kaskazini-Mashariki

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Uganda ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya Waziri wa Masuala ya Karamoja Mary Goretti Kitutu kuhusu juku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Polisi watoa tahadhari kuelekea sikukuu

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa tahadhari kwa watu ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu katika msimu wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Mahakama Yamwamuru Jamaa Kumuua Jogoo Wake kwa Kupigia Jirani Kelele

Mahakama nchini Nigeria imempa mwanamume mmoja makataa ya hadi Ijumaa, Aprili 7, kumuua jogoo wake kufuatia malalamishi ya jirani yake kuwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Zaidi ya watu 20 wafariki Somalia kutokana na mafuriko.

Ofisi ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema Jumatano kwamba takriban watu 21 wakiwemo watoto 6 wamekufa kutokana na mafuriko nchini Soma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Serikali ya Chad yawaachilia huru waasi 380 baada ya kuwaondolea kifungo cha maisha jela

Serikali ya Chad imesema iliwaachilia huru waasi 380 Jana Jumatano baada ya kuwaondolea kifungo cha maisha jela walichohukumiwa kufuatia kif . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Abigail Chams "Wasanii Wananitongoza Sana"

Abigail chams amekiri kuwa wasanii wamekuwa wakimtongoza lakini yeye anachukulia ni kawaida na ni asili ya mwanadamu akimuona binti mzuri ba . . .

Kurasa 173 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category